Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

yawezekana anachofanya mkuu ni sahihi, lakini kinachosemwa kwenye gazeti ni kweli tupu...
kwa mtazaamo wa haraka, anayoyaongea mkuu, inaonesha ana NIA nzuri, lakini shida inakuja namna gani anayaendea maneno yake, na hapo ndipo anapoharibu, ukweli tumerudi nyuma tueke unafiki pembeni.......

"Without debate, without criticism, no Administration and no country can succeed-and no republic can survive. That is why the Athenian law-maker Solon decreed it a crime for any citizen to shrink from controversy."

John F. Kennedy.
Address "The President and the Press" Before the American Newspaper Publishers Association, New York City.
April 27, 1961
 
UVCCM waandae maandamano kupinga udhalilishaji huu wa raisi wetu.....nani kasema ni dicteta?
Mbona zamani tuliandamana kuipinga IMF ! Ambao walitaka tushushe thamani ya shilingi!
Tukaandamana na mabango tukabeba na kibaraka wao Mtei akajiuzulu..
IMF imekimbia mpaka leo?

Mkuu unauliza nani kasema kweli are you serious? Hivi mpapai ukiwa umezaa mapapai na unayaona bado utahitaji mwingine akueleze kwamba huo ni mpapai?
 
You seem to be out of touch, i have been denied the right to associate by prohibiting political activities, i have been denied the right to information by closing some newspaper, my fellow citizens have been denied the right to live by being killed and thrown in the ocean to the extent that some are running out of the country in a bid to serve their lives - ask the whereabouts of Ansbert Ngurumo. Members of parliament are denied the right to exercise their constitutional right of practicing politics wherever they wish, now they are told to do that in their constituencies only!!!! -

I have just mentioned a few, i can go on and on...
You mean political rights? Actually I haven't understood what you have written. Maybe I do not understand what means by a right. But as far as am concern you have all the rights and liberty. Or maybe you have your other concerns..
 
Ridiculous coment
 
Namna ambayo serikali yake inachukulia(handle) mambo ya kisiasa kuanzia matamko, vikao, na kupinga kukosolewa yanatosha kumpa sifa hiyo ya authoritarian and erratic president, hatabiriki na anabana uwanja wa vyama vingine vya kisiasa huku akiwapa nafasi CCm, evidence polepole, na chaguzi ndogo, ushahidi wa Nassary kuhusu ununzi wa madiwani e.t.c , unless kama huyu ndugu pascal-mayalla. anafanya utafiti usio rasmi nitamwelewa, but naamini anakubaliana kuwa tuna utawala ambao uko biass kulko wakati mwingine wowote uliowahi kutokea.
 
Nyie mnaoimba Serikali ichukue hatua, mnataka ichukue hatua gani kama kila kinaxhosemwa ni KWELI? na utaupakaa Ukweli rangi gani ili uupindishe uwe sio ukweli?
 
Mkuu. Hivi unadhani hawa jamaa wanatupenda saaaana! kiasi kwamba wanajisikia uchungu uchumi wetu unaposhuka?
Think twice. Kwangu moja ya indicator kuonesha Rais wetu yupo kwenye mstari sahihi ni hizi kelele zao za maumivu kana kwamba wanatujali saaaana!
Huenda wewe una hali nzuri. Sisi pangu pakavu twaamini wako sahihi kabisa kwani fursa nyingi za kiuchumi mijini na vijijini zimesinyaa kama si kufa kabisa, mitaji inazidi kuzorota, biashara zinakufa, uwezo wa kununua bidhaa umekua duni, mazao ya kilimo yamekosa soko, pembejeo bora hakuna, ukosefu wa ajira nk.

Nashindwa kupata hata mlo mmoja kwa nini nisiwaamini. Kuna ukweli mwingi katika makala yao
 
Nimebold ninapokubaliana na na wewe mkuu. Kwa haya amafanikiwa sana na hakika ninampongeza:

1. Katugawa kama nchi kwa misingi ya kisiasa (kwake upinzani ni uadui hata kuoana ni makosa kati ya ccm na upinzani rejea kisa cha binti wa Abdallah Bulembo), katugawa kidini, kikanda, kikabila etc.
2. Kavuruga uchumi-Kama nchi vipaumbele vyetu vya ajabu sana Mungu atusaidie. Mambo ni vurugu tupu, wachumi wako kimya wanakula tu mshahara na kuacha uchumi unavurugwa na wanasiasa.
3.Kavuruga elimu-Sijajua nini hasa Mama Ndalichako anataka kuachive mwisho wa siku. Wamenichanganya zaidi kuamuru walimu wa sekondari waliojiendeleza toka primary kurudishwa primary-matokeo yake wameua mmoja juzi pasipo kukusudia.
4. Kavuruga demokrasia big time. Ni marufuku kufanya siasa isipokuwa kwa ccm tu. Sijui ni nani alimwambia hii nchi ni mali ya ccm.
5. Kaua utawala wa sheria nchini. Kwa sasa yeye na wenzie ndio sheria, kinachotakiwa kufanywa ni kile wanachotaka wao na si sheria inasemaje. Hii ni mbaya sana sana na itatuletea madhara makubwa huko tuendako kama nchi.
6.
7.
Yapo mengi sana bahati mbaya muda sina

Umenena vema Bobby
 
Hawa the Economist waliposema uchumi wetu unaporomoka, niliwaita waongo, lakini kitendo cha kushindwa kupandisha mishahara watumishi wa umma kwa mwaka wa nne mfululizo, it's not normal, inawezekana hawa the Economist wanasema kweli, mambo ya uchumi wetu sio mazuri kivile kiasi cha kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka wa nne sasa.
P
 
Siku zote muda ni mwalimu mzuri sana
 
Hawa the Economist waliposema uchumi wetu unaporomoka, niliwaita waongo, lakini kitendo cha kushindwa kupandisha mishahara watumishi wa umma kwa mwaka wa nne mfululizo, it's not normal, inawezekana hawa the Economist wanasema kweli, mambo ya uchumi wetu sio mazuri kivile kiasi cha kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka wa nne sasa.
P
Hiki ni kilio chako baada ya utabiri wako ambao ulitaka tuamini ni taarifa kutoka intels za magogoni kushindwa kuwa kweli.
 
Haha haha haha aisee tutaelewana tu,waona mbali tulisema kwamba jamaa hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji mkatupopoa kwa maneno sasa mnaanza kuelewa,kune yule bro Mwanakijiji ngoja naye tunasubiri mabandiko yake tuone kama bado ni mpiga kinanda wa jiwe gumu kweli kweli.
Fikiria sasa hivi kununua gari ya dola $5000 unabeba rambo ya Tshs,na bado mwakani muda kama huu tutaelewana.
Hawa the Economist waliposema uchumi wetu unaporomoka, niliwaita waongo, lakini kitendo cha kushindwa kupandisha mishahara watumishi wa umma kwa mwaka wa nne mfululizo, it's not normal, inawezekana hawa the Economist wanasema kweli, mambo ya uchumi wetu sio mazuri kivile kiasi cha kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka wa nne sasa.
P
 
Hawa the Economist waliposema uchumi wetu unaporomoka, niliwaita waongo, lakini kitendo cha kushindwa kupandisha mishahara watumishi wa umma kwa mwaka wa nne mfululizo, it's not normal, inawezekana hawa the Economist wanasema kweli, mambo ya uchumi wetu sio mazuri kivile kiasi cha kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka wa nne sasa.
P
Pasco Mzee Baba ameshaua uchumi wa nchi hapa amejikaza kisabuni tuu!
 
Hawa the Economist waliposema uchumi wetu unaporomoka, niliwaita waongo, lakini kitendo cha kushindwa kupandisha mishahara watumishi wa umma kwa mwaka wa nne mfululizo, it's not normal, inawezekana hawa the Economist wanasema kweli, mambo ya uchumi wetu sio mazuri kivile kiasi cha kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa mwaka wa nne sasa.
P
Bado kijarida hichi kinatuandama tuu huku tukifanya mambo makubwa ambayo awamu zilizopita hawajayafanya. Jk akijenga barabara, kulipa na kuongeza mishahara ya wafanyakazi hewa sisi awamu ya 5 tunajenga miundombinu tuu.

Acheni uongo wa kijarida hichi ambacho kinafungia vitumbua vya mabeberu.
 
Naona tunanza kuunganisha dots "majarida ya mabeberu, report ya IMF, bandiko la jana la #Zitto, kauli za jiwe na hali halisi ya mtaani"
Mpaka mwakani tutaona kila aina ya rangi
 
Back
Top Bottom