Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,452
Wanabodi.

Mauongo ya jarida la The Economist, linamsakama sana Rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe!. Jarida la kibeberu linaposhauri rais wa nchi, aliyechaguliwa kidemokrasia adhibitiwe!, hili sio jambo dogo!. Mnajua jinsi mabeberu hawa wanavyodhibiti marais? !.
Sisi tunanyamazia hoja kama hizi, halafu huko mbele likija kutokea jambo, rais wetu akadhibitiwa, ndio tutajifanya kushangaa kumetokea nini!. Utamdhibitije rais wa nchi kama sio kwa kum nanii?!.
Soma mwenyewe...
How to save Tanzania

Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.

Democracy in Africa How to save Tanzania
Start by containing President John Magufuli
20180317_BLP513.jpg

Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.

The Teacher’s flawed lessons

Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.

Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.

Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.

20180317_LDC104.png

Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.

They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.

For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.

This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"

Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.

Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?. Hawa jamaa wanasema lazima adhibitiwe!, akadhibitiwaje ?. Uongo huu ukiachwa, utageuka ukweli na JPM atadhibitiwa kweli!.

Paskali
Rejea.
‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
 
Mayala hongera kwa kuweka hii thread hapa!Kwanza kabisa naanza na wewe unaonesha bado ni mwandishi mwoga kwa taaluma yako pengine unogopa kutekwa, umeshasema rule ya kwanza ya uandishi wa habari hutakiwi kuwa mwongo!

Mbona unasema waandishi wa economics magazine waoongo!Wameitendea haki taaluma yao vizuri, ulitakiwa uanzie hapo na sio kuwa editor!Ukweli mchungu wako real 100% na ndio ukweli wenyewe our president rogue!He is tunning our country to like be a skunk! Note,'a sunk vessels has no rudder'
 
Pascal Mayalla Haya Mataifa hayawezi kuunga mkono juhudi za Mh. Rais, hasa pale ambapo tunaanza kufanikiwa katika kuwabana wanyonyaji wa maliasili zetu. Watakuja na kila aina ya propaganda, na watatumia vyombo na taasisi zao kutuchafua. Mambo ya aina hii yamekua yakitokea sio tu kwa Tanzania, tumeona propaganda za namna hii zikienezwa kwa nchi nyingine zilizokataa unyonyaji wa mataifa ya maghalibi na zilizoamua kusimamia usawa katika kusimamia maliasili za nchi.


Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja, tumuunge mkono Mh. Rais wetu, na tuendelee mbele. Tanzania ki uhalisia tulihitaji kiongozi wa kaliba ya Mh. Magufuli, sasa tumempata tumtumie katika kipindi hiki cha miaka 10 na tutafikia pazuri.
 
Back
Top Bottom