Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Tuanze na Kiswahili kwanza. Hata makala unaita "makara". Tukimaliza Kiswahili, tutazungumzia hizo lugha nyingine. Ujuaji mwingi, unaishia kujiabisha.
'r' na 'l' au 'a' na 'h' siyo tatizo la kukupa uamuzi wa kujua lugha. Angalia neno la mwisho ktk maelezo yako hayo. ni kujiabisha au nini? Kosa hilo halinifanyi nikuone hujui lugha, labda kama nataka kushinda kwa sababu za kijinga.

Katika thrd hii kuna nini muhimu ulichokiona ni udikteta badala ya uchumi ambao ndo theme kubwa ya maelezo ya The economist? Tofauti ya maono haya ni elimu na ufahamu. Wewe umeisoma kama shabiki. Wakati mwandishi akitaka watu wa uelewa wa uchumi, wewe unaandika kama shabiki wa ubaya wa rais. Kwa kuwa mwandishi hana lengo hilo, wewe unajikuta ukilazimisha na kuanza kumtaja Lissu. Kama yule kipofu na tembo.
 
Inawezekana hawa jamaa sio wakweli na hawana nia nzuri.Yawezekana tatizo lipo ila solutions wanazotizoa zinatia mashaka.Kama uchumi unashuka then kuweka vikwazo vya kiuchumi ndio solution to the problem?
 
Pascal Mayalla

Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja.

1. Kumbe Lissu hakupigwa risasi ni propaganda tuu...
2. Kumbe Ben sanane yupo Kitaa kupotea kwake ni propaganda tuu
3. Akwilina kumbe hakupigwa risasi ni propaganda tuu
4. Hivi yule mwandishi wa habari wa mwnanchi niaje, amepatikana au Nazo ni propaganda..
5. Dogo Bishop shilla kafungiwa kanisa lake, ni propaganda kumbe..
6. Abdul nondo bado hajaonana na wanasheria wake wala ndugu ze, na hakuna dalili za kupelekwa mahakamani...hizi propaganda jamaniii
7. Etc kumbe hayo yote ni propaganda....
Hakikki Sikuja
 
Pascal Mayalla Haya Mataifa hayawezi kuunga mkono juhudi za Mh. Rais, hasa pale ambapo tunaanza kufanikiwa katika kuwabana wanyonyaji wa maliasili zetu. Watakuja na kila aina ya propaganda, na watatumia vyombo na taasisi zao kutuchafua. Mambo ya aina hii yamekua yakitokea sio tu kwa Tanzania, tumeona propaganda za namna hii zikienezwa kwa nchi nyingine zilizokataa unyonyaji wa mataifa ya maghalibi na zilizoamua kusimamia usawa katika kusimamia maliasili za nchi.

Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja, tumuunge mkono Mh. Rais wetu, na tuendelee mbele. Tanzania ki uhalisia tulihitaji kiongozi wa kaliba ya Mh. Magufuli, sasa tumempata tumtumie katika kipindi hiki cha miaka 10 na tutafikia pazuri.
ukiona haya jamaa wanakupinga ujue upo sahihi sana wacha magufuli aendelee kupiga kaziii
 
'r' na 'l' au 'a' na 'h' siyo tatizo la kukupa uamuzi wa kujua lugha. Angalia neno la mwisho ktk maelezo yako hayo. ni kujiabisha au nini? Kosa hilo halinifanyi nikuone hujui lugha, labda kama nataka kushinda kwa sababu za kijinga.

Katika thrd hii kwa nini muhimu ulichokiona ni udikteta badala ya uchumi ambao ndo theme kubwa ya maelezo ya The economist? Tofauti ya maono haya ni elimu na ufahamu. Wewe umeisoma kama shabiki. Wakati mwandishi akitaka watu wa uelewa wa uchumi, wewe unaandika kama shabiki wa ubaya wa rais. Kwa kuwa mwandishi hana lengo hilo, wewe unajikuta ukilazimisha na kuanza kumtaja Lissu. Kama yule kipofu na tembo.
Kwani hiyo article inamsifia dikteta kipenzi chako ama? Mapenzi yamekufumba macho. Hana ukisoma akili aioni mistari inayozungumzia udikteta. Unauliza "ni kujiabisha au nini?" kwani huoni? Hukusoma shule ya msingi kuwa baada ya kituo kikubwa unaanza neno kwa herufi kubwa?
 
Bora nchi yenye maendeleo na dikteta!!!

Hiyo demokrasia imetusaidia nini zaidi ya kufyonza pesa kila baada ya miaka 5, zaidi ya ku-shift hoja za msingi kwenda kwenye hoja za siasa.....

Nafikiri Tanzania haikua tayari kucopy mfumo wa vyama vingi kutoka Ulaya 1992..... Kama ingekua lazia ku copy, basi wazee wetu walitakiwa kuchukua na kuicustomize iendane na uhalisia wa nchi yetu.

Nchi zinatofautiana historia, watu wake, beliefs, na mambo mengi sana.

Huwezi ku copy na ku paste kitu cha nchi nyingine ukifanyie kazi kama kilivyo kwako.

So far faida ni chache kuliko hasara
 
1. Kumbe Lissu hakupigwa risasi ni propaganda tuu...
2. Kumbe Ben sanane yupo Kitaa kupotea kwake ni propaganda tuu
3. Akwilina kumbe hakupigwa risasi ni propaganda tuu
4. Hivi yule mwandishi wa habari wa mwnanchi niaje, amepatikana au Nazo ni propaganda..
5. Dogo Bishop shilla kafungiwa kanisa lake, ni propaganda kumbe..
6. Abdul nondo bado hajaonana na wanasheria wake wala ndugu ze, na hakuna dalili za kupelekwa mahakamani...hizi propaganda jamaniii
7. Etc kumbe hayo yote ni propaganda....
Hakikki Sikuja
mbona umemsahau nabii tito
 
Rais wetu mpendwa chaguo la Mungu
Kiongozi anayesubiriwa kwa hamu kuwaongoza malaika mbinguni.
Km mi kweli basi hizi dini na masuala ya madhehebu ni usanii na blablabla tu.

Uyu jamaa ndo akawaongoze malaika? Lol haijawai na haitatokea kamwe
 
Una hoja lakini hatuwezi kuunga mkono mauaji ya watanzania ndani ya Tanzania kama na iwapo mauaji hayo yatasababisha maendeleo

Hatuwezi kukubali uhuru wetu WA kiraia WA kujumuika na kutoa mawazo ukandamizwe kisa uzalendo

Katika na sharia zetu zinakanyagwa kisa una lend. Mikutano ya kisiasa . Uhuru WA habari ndo mambo yanayoonyesha kutoa au kufa democrasia

Acha wazungu watusemee maana sisi wenyewe hatuthaminiani. Tonawanda kama nzi .

Tunarudi pale pale tena, Usikute haya mauaji yanafanywa na wapinzani (si chadema ila wasioitakia Tanzania nia njema) ndiyo wanaofanya haya au ni hulka tu yawahusika serikalini wanaofanya kazi bila weledi ndiyo wanafanya haya. Nina imani kabisa kuwa Magufuli HAWEZI kuamuru watu wauane.
 
Pascal Mayalla Haya Mataifa hayawezi kuunga mkono juhudi za Mh. Rais, hasa pale ambapo tunaanza kufanikiwa katika kuwabana wanyonyaji wa maliasili zetu. Watakuja na kila aina ya propaganda, na watatumia vyombo na taasisi zao kutuchafua. Mambo ya aina hii yamekua yakitokea sio tu kwa Tanzania, tumeona propaganda za namna hii zikienezwa kwa nchi nyingine zilizokataa unyonyaji wa mataifa ya maghalibi na zilizoamua kusimamia usawa katika kusimamia maliasili za nchi.

Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja, tumuunge mkono Mh. Rais wetu, na tuendelee mbele. Tanzania ki uhalisia tulihitaji kiongozi wa kaliba ya Mh. Magufuli, sasa tumempata tumtumie katika kipindi hiki cha miaka 10 na tutafikia pazuri.
Very True very true
 
Pascal Mayalla Unaweza ukawa mwandishi mzuri, lkn kwa kipindi hiki cha "tujage lolo" , "twashilaga??", "ndii tabu"???? una some sort of inclination angle ingawa unajitahidi kuificha! All in all wewe ni mwandishi mzuri..........

Well said, msimamo wake wala hauna kificho unaonekana wazi wazi actually una-shine kuliko a "Chrismas TREE!!"

Links zote za nyuma za Gazeti la Economics ameziweka hapa deliberately kuendelea kumunanga JPJM indirectly, huku akijifanya anamtetea anafikiri Watanzania hatuna akili ya kubaini janja yako.

Pascal, kumbuka Uingereza kuna magazeti mengi "Tabloid na Broadsheet" hivi inakuwaje gazeti moja tu la Economist ndio linakuwaga overly critical na kinacho endelea nchini Tanzania na Rais Magufuli in particular, kwa nini mara nyingi gazeti hili ulinganisha Tanzania na kincho endelea nchini Kenya - Pascal,je, umewahi kujiuliza ni akina nani/group gani wako nyuma ya mchezo huu na wanafanya hivyo wakiwa na lengo gani? Je, ni akina nani u-file/tuma habari hizi za kuishambulia Tanzania mara kwa mara kwenye Gazeti la Economics, je ni akina Mahina, Kabakka au Waswahili wa hapa hapa ambao utumia alias names ili wasijulikane.
 
Well said, msimamo wake wala hauna kificho unaonekana wazi wazi actually una-shine kuliko a "Chrismas TREE!!"

Links zote za nyuma za Gazeti la Economics ameziweka hapa deliberately kuendelea kumunanga JPJM indirectly, huku akijifanya anamtetea anafikiri Watanzania hatuna akili ya kubaini janja yake.

Pascal, kumbuka Uingereza kuna magazeti mengi "Tabloid na Broadsheet" hivi inakuwaje gazeti moja tu la Economist ndio linakuwaga overly critical na kinacho endelea nchini Tanzania na Rais Magufuli in particular, kwa nini mara nyingi gazeti hili ulinganisha Tanzania na kincho endelea nchini Kenya - Pascal,je, umewahi kujiuliza ni akina nani/group gani wako nyuma ya mchezo huu na wanafanya hivyo wakiwa na lengo gani? Je, ni akina nani u-file/tuma habari hizi za kuishambulia Tanzania mara kwa mara kwenye Gazeti la Economics, je ni akina Mahina, Kabakka au Waswahili wa hapa hapa ambao utumia alias names ili wasijulikane.
Bukyanagandi, sikjakuelewa. Umesema anamshambulia! Kushambulia ni nini. Nikisema Bukyanagandi maana yake ni "Kila siku na matukio yake" au "kila kukicha kunanakuwa na mambo mapya" (tafsiri isiyorasmi) nimekushambulia, si mimesema ukweli watafsiri ya Bukyanagandi?. Kushambulia ni nini? Alimshambulia au alisema ukweli. kama kusema ukweli ni kushambulia then you might be right!
 
Mabeberu ni watu hatari sana. Kama hawawezi kumpenda kiongozi yeyote wa Afrika mwenye maono ya kuijenga nchi yake. Walianza kitambo sana tangu kwa kina Lumumba na karibuni kabisa kwa Gadaffi. Afrika tunapaswa kujitambua.
 
Wanabodi.

Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana Rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania

Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.

Democracy in Africa How to save Tanzania
Start by containing President John Magufuli
20180317_BLP513.jpg

Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.

The Teacher’s flawed lessons

Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.

Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.

Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.

20180317_LDC104.png

Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.

They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.

For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.

This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"

Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.

Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?.

Paskali
Rejea.
Tusi halitumwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, kwa hiyo ndugu Mayala wewe ndo umemsema hivyo raisi wetu mpendwa. Nashauri vyombo vya dola vimfuatilie huyu ndugu P. Mayalla aeleze vizuri, ikiwezekana afikishwe kule wanakofikishwa wengine
 
UVCCM waandae maandamano kupinga udhalilishaji huu wa raisi wetu.....nani kasema ni dicteta?
Mbona zamani tuliandamana kuipinga IMF ! Ambao walitaka tushushe thamani ya shilingi!
Tukaandamana na mabango tukabeba na kibaraka wao Mtei akajiuzulu..
IMF imekimbia mpaka leo?
 
Back
Top Bottom