Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Kuna maeneo ukionekana unakuwa fresh, ukiona watu hawaonekani, usipime... vimekaza balaa!
P
Raisi hasifiwi kwa kupewa Mkopo bali ni Ishara ya Udhalili wa Taifa na Kushindwa kwa serikali husika .
Kukopa si Fahari bali ni aibu.
Heri ajisifie kwa kukusanya kodi nyingi au kufanya Mambo makubwa kama Mradi wa Umeme wa Maji Kule Stegla's George
 
Pascal Mayalla Unaweza ukawa mwandishi mzuri, lkn kwa kipindi hiki cha "tujage lolo" , "twashilaga??", "ndii tabu"???? una some sort of inclination angle ingawa unajitahidi kuificha! All in all wewe ni mwandishi mzuri..........
Asante sana, inawezekana ni hawa jamaa?.
P
 
Back
Top Bottom