Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

TULIPOKOSEA KUJUMLISHA NI HAPA:
Maendeleo=watu+ardhi+siasa safi+utawala bora.

Sina shaka aliyetutoa relini ni Bwana Paulo.huyu jamaa sio mtu mzuri kabisaaa lengo la mwenye kigoda lilikuwa zuri sasa mechanisms zinazotumika ni kinyume na walio kusudiwa kwenye maendeleo yanayosemwa.
 
Ni kwa sababu kina Mkapa, Mwinyi, Kikwete walikuwa wanalindiana maslahi hata na Magufuli pia anafanya hivyo ila si kama hawa wapuuzi uliowataja, tofauti iliyopo hapa ni kwamba Magufuli ana uchungu na nchi yake na anatetea maslahi ya nchi si kama hao uliowataja. Kipindi cha hao marais waliiuza sana nchi na kujinufaisha wao wenyewe na familia zao na ndiyo maana nchi ilikuwa haina msimamo kila mtu alikuwa anaishi kijanja tu mjini. Wafanyakazi hewa kila idara, nidhamu serikalini kulikuwa hakuna, wauza unga (wauwaji) ndio walikuwa wanaonekana wajanja wa mjini, rasilimali zetu wazungu waliziiba kila kukicha......haya yote watanzania waliyajuwa hata kabla ya Magufuli kuja kuwa rais na sasa kawa rais ndiyo anasafisha nchi. Wale wababaishaji wote pamoja na wazungu waliokuwa wanategemea utajiri wao kupitia wizi waliokuwa wanafanya hapa Tanzania na nchi nyingine wanahaha na kuanza propaganda za kijinga ili Tanzania ionekane mbaya. Kwa bahati mbaya sasa, kuna hata watanzania wana-wasupport hao wazungu kwa sababu kwa namna moja au nyingine walikuwa wananufaika na ufisadi waliokuwa wanafanya hawa wazungu hapa kwetu. Unaelewa haya?
Una hoja lakini hatuwezi kuunga mkono mauaji ya watanzania ndani ya Tanzania kama na iwapo mauaji hayo yatasababisha maendeleo

Hatuwezi kukubali uhuru wetu WA kiraia WA kujumuika na kutoa mawazo ukandamizwe kisa uzalendo

Katika na sharia zetu zinakanyagwa kisa una lend. Mikutano ya kisiasa . Uhuru WA habari ndo mambo yanayoonyesha kutoa au kufa democrasia

Acha wazungu watusemee maana sisi wenyewe hatuthaminiani. Tonawanda kama nzi .
 
Wanabodi.

Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania

Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.

Democracy in Africa How to save Tanzania

Start by containing President John Magufuli
20180317_BLP513.jpg

Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.

The Teacher’s flawed lessons

Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.

Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.

Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.

20180317_LDC104.png

Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.

They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.

For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.

This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"

Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.

Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?.

Paskali
ujue mabepari hawalali unapogusa maslahi yao!
 
Hayo mavitabu nilisoma wakati niko Chuo Kikuu. Hizo ni perspectives za watu tu. Hakuna mtu anayeionea wivu Tanzania kwa kujenga vibarabara vya lami na vi-fly over viwili. Uchumi unaweza jengwa bila ya akina Lissu kupigwa risasi, magazeti kufungiwa na mikutano ya vyama kuzuiwa...
Suppose Lissu ni Rais wa TZ. Unategemea nini? Nahisi wazungu watakuwa na sitting room yao ikulu.
 
Emalau which right have you been denied as a citizen.

You seem to be out of touch, i have been denied the right to associate by prohibiting political activities, i have been denied the right to information by closing some newspaper, my fellow citizens have been denied the right to live by being killed and thrown in the ocean to the extent that some are running out of the country in a bid to serve their lives - ask the whereabouts of Ansbert Ngurumo. Members of parliament are denied the right to exercise their constitutional right of practicing politics wherever they wish, now they are told to do that in their constituencies only!!!! -

I have just mentioned a few, i can go on and on...
 
Wanabodi.

Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania

Paschal,

Mara nyingi umekuwa ukiona issue kwanya magazeti ya nje kama hili unayaleta.

Je, matokeo yanaonyesha vyombo hivi vimeshikishwa adabu na hoja kinzani za watazania? Au unapoyaleta ndiyo yamepata watanzania wengi zaidi wanaoyaunga mkono?
 
Uchumi wetu haukuwahi kufikia hapa tulipofikia tangu tupate uhuru.
uchumi unaporomoka kwa kasi ya kutisha....conern ya huyu mwandishi ni 50m+raia wa Tanzania wanaelekezwa siko na Magufuli na wapambe wake.Its not a joke...lets act immediately!
 
Bila kuathiri upande wowote kwenye mjadala huu, yaani wale wanaounga mkono ripoti iyo na wale wanaopinga..niseme kidogo. Shida inayoikabili nchi yetu ndani ya awamu hii ni mitazamo finyu kuwa kila unapotoa mawazo mbadala wewe unatumika na watu fulani na has mabeberu au watu weupe. Moja ya silaha iyotumika na serikali yetu ya awamu ya tano ni kuwafanya watanzania waamini kuwa, yoyote anayetoa mawazo au hoja inayopingana na serikali ni adui wa serikali, na anapaswa kutazamwa kama adui wa watanzania aka 'public enemy'. Na kwa kweli imefanikiwa kwa kiasi fulani.

Lakini pia, juhudi zinafanyika kuwaaminisha watanzania kuwa mambo yako shwari na yanaendelea vizuri. Hii pia imefanikiwa kwa kiasi fulani japo ukweli ni kuwa 'trickle down effect' bado ni ndogo sana. Hili linafanyika kwa kuhakikisha kuwa wenye mawazo tofauti hawapati nafasi sana kusikika, lakini mawazo ya serikali na watendaji wake yanasikika zaidi. Tazama kwa mfano mlundikano wa vipindi kwenye runinga vinavyoipamba serikali, tazama namna ambapo ziara za viongozi wa serikali zinavyopewa 'airtime' kubwa kwenye runinga...hili yote ni mkakati wa kuhakikisha madhaifu yanafichwa kwa gharama yoyote.
 
Sasa hapo una-justify Lissu kupigwa risasi, siyo? Akili nyingine... Kazi kweli kweli.
Tatizo ni pale mtu anapokuwa kama ile hadithi ya kipofu na tembo. Ghafla mtu anakuondoa upofu na kukuta tembo mbele yako kabla upofu haujakurudia. Kila lisemwalo wewe ni kama tembo:

Hii thrd haihusu lolote, chochote juu ya Lissu. Iweje mtu mzima kila kitu ni Lissu? Hata uchumi ni Lissu!
 
Kiingereza kimekupita kushoto nini? Basi kwa Kiswahili ni hivi. Hii mada inahusu udikteta katika nchi yetu na hivi ndivyo jinsi unavyoonekana - kusigina katiba, kuzuia, mikutano ya kisiasa, kufungia magazeti, watu kutekwa na kupotea, mauaji ya kisiasa - Lissu alinusurika, kukosekana kwa utawala wa kisheria - Nondo amefichwa bila kupelekwa mahakamani, nk. Lisu ni mwathirka wa udikteta - sasa kwa nini wewe inakuuma akitajwa kama mfano kwenye mada hii inayohusu udikteta Tanzania?
 
Kipimo cha udikteta ni Lissu? Haya, Rais kafikia Lissu ngapi kama standard unit?
Unafahamu lugha ngapi za kigeni, dogo? Yaani The Economist inajdili udikteta? Ndivyo ulivyoona ktk makara hiyo? Maisha ya Shule ni Safari ndefu... Vumilia!
 
You seem to be out of touch, i have been denied the right to associate by prohibiting political activities, i have been denied the right to information by closing some newspaper, my fellow citizens have been denied the right to live by being killed and thrown in the ocean to the extent that some are running out of the country in a bid to serve their lives - ask the whereabouts of Ansbert Ngurumo. Members of parliament are denied the right to exercise their constitutional right of practicing politics wherever they wish, now they are told to do that in their constituencies only!!!! -

I have just mentioned a few, i can go on and on...
Iron Spear stab
 
Wanabodi.

Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana Rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania

Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.

Democracy in Africa How to save Tanzania
Start by containing President John Magufuli
20180317_BLP513.jpg

Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.

The Teacher’s flawed lessons

Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.

Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.

Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.

20180317_LDC104.png

Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.

They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.

For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.

This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"

Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.

Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?.

Paskali
Mh. H Mdee alishasema Magufuli anatakiwa aweke breki hamkumwelewa
 
Mkuu. Wenye akili tunajua wakati mzuri wa kujiangalia ni pale unapowaona "wakikusifia na kukumbatiakumbatia"
Ukiona wanaanza kulialia ujue uko kwenye right track (We songa mbele!)
Maneno yako ya ukweli ndani yake ukiwaona Wazungu wanakusifia ujuwe unaharibu nchi yako kwa kuwafurahisha wao lakini ukiwaoana wanasema maneno mabaya kwako ujijuwe kuwa unafanya vizuri nchini mwako. Matatizo hayo yalimkuta Kiongozi wa Libya Kanali Qaddafi wazungu walimchukia kwa sababu nchi yake anaiongoza vizuri wakashirikiana kumuondoa Madarakani Wamarekani na Waingereza na wafaransa.
 
Kipimo cha udikteta ni Lissu? Haya, Rais kafikia Lissu ngapi kama standard unit?
Unafahamu lugha ngapi za kigeni, dogo? Yaani The Economist inajdili udikteta? Ndivyo ulivyoona ktk makara hiyo? Maisha ya Shule ni Safari ndefu... Vumilia!
Tuanze na Kiswahili kwanza. Hata makala unaita "makara". Tukimaliza Kiswahili, tutazungumzia hizo lugha nyingine. Ujuaji mwingi, unaishia kujiabisha.
 
SASA kuna Watu humu ukieleza hivyo, hawakuelewi asilani. Wanasema eti wazungu ni wema SANA. Eti ni wajomba zetu.
Ahaaa haaa haaa.
Anko Ben aliwahi kusema watz ni wavivu wa kusoma. Alikua sahihi. Wanaosema wazungu ni wema sana hao hawana upeo wa kutosha na Sera za nje mataifa makubwa. Canada ni nchi ambayo haisikiki kwenye migogoro but kwa huu wa DRC imo kama zilivyo USA, China, n.k. USA ameweka majeshi take nchi za ghuba kudhibiti uporaji wake wa mafuta wakati huo huo ikichongea ongezeko LA vijana wasio na kazi kua ndio wanaendesha ugaidi. Haya hayafanyiki kwa bahati mbaya
 
Kwa yote hayo yanayofanyika, mtu anadiriki kusema WAZUNGU ni WEMA. KWANI WAJOMBA ZAKO WALE?
 
Bila kuathiri upande wowote kwenye mjadala huu, yaani wale wanaounga mkono ripoti iyo na wale wanaopinga..niseme kidogo. Shida inayoikabili nchi yetu ndani ya awamu hii ni mitazamo finyu kuwa kila unapotoa mawazo mbadala wewe unatumika na watu fulani na has mabeberu au watu weupe. Moja ya silaha iyotumika na serikali yetu ya awamu ya tano ni kuwafanya watanzania waamini kuwa, yoyote anayetoa mawazo au hoja inayopingana na serikali ni adui wa serikali, na anapaswa kutazamwa kama adui wa watanzania aka 'public enemy'. Na kwa kweli imefanikiwa kwa kiasi fulani.

Lakini pia, juhudi zinafanyika kuwaaminisha watanzania kuwa mambo yako shwari na yanaendelea vizuri. Hii pia imefanikiwa kwa kiasi fulani japo ukweli ni kuwa 'trickle down effect' bado ni ndogo sana. Hili linafanyika kwa kuhakikisha kuwa wenye mawazo tofauti hawapati nafasi sana kusikika, lakini mawazo ya serikali na watendaji wake yanasikika zaidi. Tazama kwa mfano mlundikano wa vipindi kwenye runinga vinavyoipamba serikali, tazama namna ambapo ziara za viongozi wa serikali zinavyopewa 'airtime' kubwa kwenye runinga...hili yote ni mkakati wa kuhakikisha madhaifu yanafichwa kwa gharama yoyote.

Ulisema hauko UPANDE wowote yaani kupinga au kuunga mkono jarida la the economist. Lkn kwa maelezo YAKO uliyoyatoa hapo juu unaonekana dhahiri shahili kuwa uko upande wa jarida.
Sasa tunaomba utoe maelezo ambayo yanaonekana uko upande DHIDI YA JARIDA.
 
Back
Top Bottom