MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Majibu yangu......
Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 )
Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara United atatoka Sare zote Tano ( 5 ) na Siimba SC akashinda zake zote Tano ( 5 ) basi tofauti ya Alama na Yanga SC itakuwa ni Sifuri ( 0 ) ila Yanga SC ataendelea Kuongoza kwa kuwa na Magoli mengi ya Kufunga na hata Kufungwa.
Yanga SC acheni Dharau na Kubweteka kwani japo MINOCYCLINE nilishasema nyie ni Mabingwa wapya wa NBC Premier League lakini endapo Simba SC wakiamua kufanya Umafia ( Football Fitina ) na Vilabu vitakavyocheza na Yanga SC navyo Kuamua 'Kukaza' ili Wasishuke daraja upo Uwexekano mkubwa wa Ndoto za Yanga SC Kuutaka Ubingwa Kukosekana na Wakauwana kama siyo Kuchapana Bakora.