Japan yawaenzi Waislamu kwa kutengenezea sehemu maalum za Kuswalia

Umeishiwa nguvu za kiume? Pole sana mkuu,,hilo tatizo wengi wanakumbananalo.
Hahaha umeanza matusi au nawewe ndio wale mashahid nini?! Kama Faizafoxy ni genius kwako sawa, kwangu siyo na hana qualifications za kuwa genius.
Mdanganyane wenyewe huko msikitini au madrasa.
 
Kunywa maji mengi utaipata tena "chi" yako.

Au ulimaanisha "Qi" ya Kichina? "Anyway", sina uhakika hata kama unafahamu maana ya "Qi" (inatamkwa "chi") ya Kichina.
Hahaha asante dada, nilimaanisha "nchi" lakini keyboard ilikatisha matamanio yangu na kuruka herufi, lakini chi yangu ilitimia.

Nilicheka nilipoambiwa wewe ni genius dada.
 
= darsa

Yeye aliandika darasa, nikahisi alimaanisha madrasa, maana huko kila anaye kalili Quran anaitwa genius.
Hiyo darsa hata yeye halifahamu.
 
Si hotelini pekee ambako Uislam umeenziwa na Wajapan na wanatengewa sehemu za kuswalia.
Ukisoma vizuri bila ya kuifunga akili yako, utakuta kuna viwanja vya ndege, tena vikubwa sana kwa viwango vya Kimataifa, kama vile Narita, Haneda na Kansai Airports.

Pia utakuta shopping Malls kubwa kubwa zimeanza kutenga sehemu za kusalia kwa Waislam tu.

Kama hiyo haitoshi, basi pia wameanza kutenga sehemu za kusalia kwenye highways (barabara kubwa) zao.

Hapa ndugu yangu katika utu, hakuna zaidi bali tunamshukuru Allah kwa kufungua nyoyo za Wajapan na kuutazama Uislam kwa mtazamo chanya na si mtazamo hasi kama uliouonesha wewe.
Hahaha unaweza kuta hata hao waislamu wenyewe hawapo huko, china wapo nasikia wanapata kibano siyo cha kitoto,wanakusanywa pamoja ili wasilete madhara kwenye jamii, huko kuenziwa sidhani. Hapa airport wanaweza kuwatengea tatizo lenu kelele za vipaza sauti, mtavuruga utulivu wa eneo na kuleta kelele.
Hamkawii kuzuia wengine wasio waislam kuingia na kutoka mtaanza kudai tutembee peku airport kwamba kuingia na viatu tutaondoa udhu, na mtaanza kutusumbua mkifunga mtataka migahawa airport ifungwe,akili zenu huwa tunazijua mkihurumiwa mkapewa kidogo huwa mnataka umiliki.
Ubinafsi wenu ndio huwa unatukatisha tamaa kuwasaidieni.
 
Asiekuwa na dini,,,kama nimekosea nisamehe.
Kwangu unaweze kuwa Sawa.

lakini kuna kundi kubwa la waamini Mungu lakini sio wafuasi wa dini..
Mfano kuna Yule Ally Sina(sina hakika kama jina lake nimelipatia) ama hapa jamvini kuna yule jamaa (akili kubwa) Malcom Lumumba, ni mara nyingi amekuwa akikana dini, lakini ni fuasi Mungu. so, hawa wanao amini Mungu, lakini si wafuasi wa dini, unawaweka kundi gani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hawapo si utaenda kusali wewe.

Kinachokuuma ni nini haswa?
 
Mbona kanisa lipo miaka mingi sana Iran? Jionee...
St. Nicholas Orthodox Church in Tehran, Iran, 2017
St. Nicholas Orthodox Church in Tehran, Iran.

Tena elewa hayo makanisa Iran yalijengwa na wakimbizi wa Kirusi waliokimbia mapinduzi ya 1917 ya Urusi.

Soma kijana kabla hujakurupuka, Uislam ni mwema sana...

hoja sio kujengwa. Je wanalitumia kwa ibada? Lilijengwa kabla ya mapinduzi ya kiislam
 
hoja sio kujengwa. Je wanalitumia kwa ibada? Lilijengwa kabla ya mapinduzi ya kiislam
Swali lako zuri sana.

Tunaona makanisa mengi sana Ulaya na Marekani yanageuzwa kuwa misikiti. Sifahamu hayo ya Iran wanayatumia au hawayatumii. Uzuri ni kuwa yapo kama hawayatumii wakuwauliza ni watumiaji wa hayo makanisa. Ona hii...

germany-kapernaum-kirche-hamburg-e1538633378274.png

The former Capernaum church has been turned into a mosque, Austrian tabloid Wochenblick reports. The “Al-Nour” mosque was recently opened, converted from the former Hamburg church into a mosque. Muslims celebrate, neighbors start to shed unease.

The church, which was consecrated in 1961, was re-designed in 2002. A 1.5 million euro renovation overwhelmed the Evangelical Lutheran congregation, thus leaving the building empty for years.
Muslims bought the church from a private investor around 2012 for 1 million euros. The Islamic Al-Nour centre started the conversion of the church into a mosque and its opening was celebrated just recently.
Several representatives from the Hamburg Senate and the chairman of the Central Council of Muslims, Aiman Mazyek, along with representatives of the Protestant Church were expected to take part in the opening ceremonies.
 
aaah copy and paste kwenda google translator ili kusoma hicho kiingereza chako. Story ndeefu lakini hilo kanisa la Iran kama hawakuwaua waumini basi walikimbia kunusuru roho zao. Hizi nchi zinazojiita za kiislam hawana uvumilivu na dini nyingine kabisa. Karibu nipo na waungwana hapa tunakula safari lager za baridiiiii hatuulizani dini hapa wala hatuna shida na mtu
 
Hahaha asante dada, nilimaanisha "nchi" lakini keyboard ilikatisha matamanio yangu na kuruka herufi, lakini chi yangu ilitimia.

Nilicheka nilipoambiwa wewe ni genius dada.
Unacheka! Kumbe u mjivuni. Pata jibu lako ewe mjivuni kutoka kwa Umsolopogaas...

... Akageuka aende zake huku anacheka. Umsolopogaas akajibu, na sauti yake ingali ikinguruma, "Usiwe na shaka, tutashindana peke yetu mimi na
wewe. Utashindana uso kwa uso na Umsolopogaas, wa damu ya Chaka, wa kabila la Wazulu, mkuu wa jeshi la Nkomabakosi, kama wengi wengine walivyofanya; nawe utajiinamisha mbele ya Inkosikazi kama walivyofanya wengi wengine. Ndiyo, cheka, cheka! Usiku wa kesho
fisi watakuwa wanacheka na huku wanavunja na kuzitafuna mbavu zako
."
 
aaah copy and paste kwenda google translator ili kusoma hicho kiingereza chako. Story ndeefu lakini hilo kanisa la Iran kama hawakuwaua waumini basi walikimbia kunusuru roho zao. Hizi nchi zinazojiita za kiislam hawana uvumilivu na dini nyingine kabisa. Karibu nipo na waungwana hapa tunakula safari lager za baridiiiii hatuulizani dini hapa wala hatuna shida na mtu
Hilo kanisa la Iran hao walinusuruiwa na Waislam walipokimbilia Iran kutoka Urusi kulikokuwa na mapinduzi. Soma kijana.

Usiwe na chuki na Waislam kwa kujazwa ujinga tu. Uislam umewanusuru na unawanusuru wengi sana hadi leo hii.

Wewe hutaki kunusurika?
 
Kwangu unaweze kuwa Sawa.

lakini kuna kundi kubwa la waamini Mungu lakini sio wafuasi wa dini..
Mfano kuna Yule Ally Sina(sina hakika kama jina lake nimelipatia) ama hapa jamvini kuna yule jamaa (akili kubwa) Malcom Lumumba, ni mara nyingi amekuwa akikana dini, lakini ni fuasi Mungu. so, hawa wanao amini Mungu, lakini si wafuasi wa dini, unawaweka kundi gani?.

Sent using Jamii Forums mobile app

“Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake…” [Quran 3:83]

JINA LA DINI
Kitu cha kwanza kabisa ambacho mtu anapaswa kukijua na kukifahamu kwa kina kuhusu Uislamu ni juu ya maana ya neno lenyewe “Uislamu.” Neno hilo ni la asili ya Kiarabu lenye maana ya kutii au kusalimisha matakwa ya mtu kwa Mwenyezi Mungu wa kweli wa pekee, ajulikanaye kwa Kiarabu kama “Allah”. Mtu ambaye amesalimisha matakwa yake kwa Mwenyezi Mungu (Allah) huuitwa “Mwislamu”. Dini ya Kiislamu haikupewa jina kutokana na jina mtu au watu, wala halikuamuliwa na kizazi chochote cha wanadamu kama vile Ukristo ambao ulipewa jina kutokana na “Yesu Kristo”, Ubudha unatokana na jina la Gautama Buddha, Kunfushian, unatokana na Confucius, Umaksi ulipewa jina la Karl Marx; Uyahudi unatokana na jina la kabila la Yuda na Ubaniani (Uhindu)unatokana na jina la Hindu. Uislamu (kutii amri za Mwenyezi Mungu) ni dini aliyopewa Adam, mtu wa kwanza na mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu, na Uislamu ndio dini ya mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu kwa wanadamu. Kwa kuongezea, jina la Uislamu lilichaguliwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe na limetajwa wazi wazi katika kitabu cha mwisho cha Allah (Quran). Allah alimfunulia mwanadamu katika kitabu cha mwisho alichomfunulia Mwanadamu. Katika ufunuo wa mwisho, uitwao kwa Kiarabu Al-Quran Allah ameeleza yafuatayo:-

“… Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema Yangu, na Nimekupendeleeni Uislamu uwe Dini yenu…”[Quran 5:3]

“Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake…” [Quran 3:83]

Kwa hiyo, Uislamu haudai kuwa ni dini mpya iliyoletwa Arabuni na Mtume Muhammad katika karne ya saba, lakini Uislamu ni mwendelezo wa sehemu ya mwisho ya dini ya Allah, kama ilivyofunuliwa toka mwanzo kwa Adam na mitume waliomfuatia.

Hadi kufikia hapa tutatoa maoni kwa ufupi kuhusu dini nyingine mbili zinazodai kwamba ndizo njia sahihi. Hakuna sehemu yoyote katika Biblia ambayo utakuta kwamba Mwenyezi Mungu amewafunulia watu wa Mtume Musa au vizazi vyao kwamba dini yao inaitwa Uyahudi, au kwa wafuasi wa Kristo kuwa dini yao inaitwa Ukristo. Kwa maneno mengine, majina “Uyahudi" na "Ukristo” hayakutokana na asili ya Mwenyezi Mungu wala hayani idhini yake. Jina Ukristo halikuwepo hadi muda mrefu baada ya kuondoka Yesu ndipo jina hilo lilipotolewa kwa dini ya Yesu.
 
Hilo kanisa la Iran hao walinusuruiwa na Waislam walipokimbilia Iran kutoka Urusi kulikokuwa na mapinduzi. Soma kijana.

Usiwe na chuki na Waislam kwa kujazwa ujinga tu. Uislam umewanusuru na unawanusuru wengi sana hadi leo hii.

Wewe hutaki kunusurika?
mbona walazimisha mambo? Walikimbia Iran na kujenga hayo makanisa kabla ya mapinduzi ya kiislam.
 
Mimi nalazimisha au wewe unaandika tu mradi uandike. Kasome post namba 19, ukikuta link ifate, kuna kisa kamili cha hilo kanisa.

Soma kijana kwa faida yako. Usiwe mvivu kusoma.
acha kurahisisha mambo wewe
 
Back
Top Bottom