Japan yawaenzi Waislamu kwa kutengenezea sehemu maalum za Kuswalia

Kabisa tena lakini hutoweza kuyaonesha hayo unayozua. Uwanja ni wako.

Kwa upande mwengine, hii ni dini au kitabu kipi kinachoamrisha haya? ...

1 Samueli 5:
3: Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda


Hapo naona mpaka mtoto mchanga asibakishwe, hata ng'ombe na kondoo basi?

Nikuongeze?

Hapo sasa!
Kumbe ninazua!!!!

Tulia kwanza bibi usilete mjadala mpya mpaka tumalizane.

Rudi kwenye nilichokuuliza. Uislam ambao ni dini ya haki Unaelekeza kuwafanya nini wale wasiokubaliana nao(Wale wanaoupinga)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muammar Alikua Muislam

Mfalme Wamoroco Muislam

Mfalme Wa Oman Muislam

Hao Sio Wafadhili Hao Ni Waislam Na Wanatekeleza Kile Kipande Cha Muislam Ndugu Yake Muislam

Kumpa Ndugu Yako Kitu Sio Mbaya Kijana Nahao Walotoa Niwaislam Kuwapa Waislam Wenziwao

Wala hawaajtoa MAKAFIR Kuwapa Waislam


Wacheni Chuki Na Mtoe Maoni Kwakujielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sasa mbona nyie waislam hamjitolei badala yake mnasaidiwa tu kila kukicha,pesa zenu mbapeleja wapi, au ndio mnanunua al kasusu?
 
Wewe yaonekana mgeni humu, pia co mtz hailisi hata matamshi yako tu yanashiria,,,kama sio mkenya...!


Huyo unaemjibu ni Genius sio wa level yako kaka,,
Huwa sio kawaida yangu kujibia hoja kama hii,mada imetolewa ili ijadiliwe kukubaliana au kutokukubaliana ni moja ya misingi ya debate,ila FACTS zibakie sahihi,mimi sio mkenya na inaonekana wewe una ugonjwa wa xenophobia,mimi nimeishi kipindi ambacho mitaa kadhaa ya kariokoo(nilipokulia)kipindi cha mfungo tulikuwa tunafuturu mitaani,uvumilivu wa kidini ulikuwa ni mkubwa sana na kila mtu aliyeshimu imani ya jirani zake,nyumba zetu za kupikia ukumbini ilikuwa sio rahisi kwa mkisto kupika nguruwe au kipindi cha mfungo wakristo walikuwa wanapikia vyumbani kwao au hawapiki kabisa ili kuendena na mfungo,mitaa ile ya Mahiwa(kulikuwa na msikiti mkubwa tu na ulikuwa ni Cal de sac mtaa huu),narungombe,sikukuu,livingstone etc etc maisha yale yalikuwa ni safi mno,generation hii inajifanya ni radicals wakati maana ya dini hata hawajui,kunitisha eti mtoa hoja si size yangu umejionyesha ni jinsi gani upeo wa kufikiri ulivyo kwako,ni mada nzuri ilitolewa na wanaJF wameijadili na sio lazima wote tukubaliane,next time try to read to understand NOT TO ASK Q.
 
Hao wote uliowataja ni dini gani?
kwani wewe dini/ dhehebu gani mbona hujengi misikiti au hata kununua mazulia mpaka yatoke Oman ya msaada?!
Mwenge pale kila siku waislam walikuwa wakipigana na kumfukuza kiongozi wa msikiti mpaka polisi wanaingilia kati, ukiuliza sababu utasikia kala peraza kununulia mazuria ya kuswalia, mara kapokea misaada tuka Oman kala, kwanini msijifunze kwa wakristu wanachangishana wanajijengea makanisa hadiviti vya kukalia bila shida.
Nyie mnajengewa hadi mazulia mna nunuliwa, Haiti hii ikataeni dada.
 
= ujasiriamali

Na hiyo nayo siyo shule za kusomea ujinga?
Hahaha hizi ni computer zinalazimisha maneno, hakuna shule inafundisha maneno yote ya kiswahili.
Na kule hatukaririshwi kama mnavyofanya madrasa dada, punguza mizuka ya kuchungulia herufi, elewa hoja zilizopo.
 
Hahaha hizi ni computer zinalazimisha maneno, hakuna shule inafundisha maneno yote ya kiswahili.
Na kule hatukaririshwi kama mnavyofanya madrasa dada, punguza mizuka ya kuchungulia herufi, elewa hoja zilizopo.
Tatizo lugha huielewi na shule ulisomea ujinga usisingizie madrasa.

Madrasa ni simply madarasa kwa Kiswahili kama ulikuwa huelewi. Ni sehemu ya kudurusu siyo kukariri.

Unaelewa maana ya kukariri? Ikiwa neno lenyewe hata kuliandika nikufundishe mimi halafu nitegemee uelewe maana yake?! Asking for too much.
 
Tatizo lugha huielewi na shule ulisomea ujinga usisingizie madrasa.

Madrasa ni simply madarasa kwa Kiswahili kama ulikuwa huelewi. Ni sehemu ya kudurusu siyo kukariri.

Unaelewa maana ya kukariri? Ikiwa neno lenyewe hata kuliandika nikufundishe mimi halafu nitegemee uelewe maana yake?! Asking for too much.
Hahaha madrasa wana kariri Quran, hata juzi kulikuwa na tuzo kwa mabingwa wa kukariri dada acha ubishi.
Makamu wa rais alitoa hizo tuzo ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Nyerere, wewe hutaki hata hili unataka tubishane?!
 
Back
Top Bottom