• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Japan yawaenzi Waislamu kwa kutengenezea sehemu maalum za Kuswalia

FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,260
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,260 2,000
Ma shaa Allah.

Kwa heshima na taadhima kubwa serikali ya Japan ikishirikiana na makampuni mengine binafsi imewaenzi Waislam kwa kuwatengenezea sehemu maalumu za kuswalia.

Kuanzia Airport mpaka kwenye mabarabara makubwa (highways) na sehemu zingine za wazi. Jioneeni:

Ahsante Japan.
 
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,880
Points
2,000
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,880 2,000
MMM mtoa hoja umeliona hili BUT mbona hujiulizi wakimbizi wa Syria,yemen,iran,Iraq etc etc wanakimbilia western countries na sio Saudi Arabia,Iran,etc etc ?je hili linaweza fanyika pale Iran kwa kanisa kujengwa Tehran?,tujadili kwa facts pls.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,352
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,352 2,000
MMM mtoa hoja umeliona hili BUT mbona hujiulizi wakimbizi wa Syria,yemen,iran,Iraq etc etc wanakimbilia western countries na sio Saudi Arabia,Iran,etc etc ?je hili linaweza fanyika pale Iran kwa kanisa kujengwa Tehran?,tujadili kwa facts pls.
... wala sio kanisa bali kwa hekalu la Buddha (dini kuu ya wajapan) kujengwa Riyadh au Jeddah? Huku wanahubiri kuwatenga binadamu wenzao kule wanafurahia kupendelewa na wale wale wanaowatenga! Ajabu sana binadamu hawa wa ajabu!
 
Gambino

Gambino

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
3,288
Points
2,000
Gambino

Gambino

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
3,288 2,000
Waislamu sitaki kusema sana.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,260
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,260 2,000
Tutaanza kuona wimbi la wakimbizi Waislamu kwenda Japan, na sio Saudi Arabia au UAE ambako wala hawahitaji kutengenezewa maeneo ya kuswalia!
Nur Arisa Maryam, explain how Islam comes to her heart
Alhamdulillah, Allah opened my mum’s heart. Three days later, my mum said she had been in the wrong and cried. She told me that my sister explained Islam to her, and she told my mum that I haven’t changed myself after becoming a Muslimah. I’ve just become a better person.

Hata Japan tupo. Usijali.
 
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
2,502
Points
2,000
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
2,502 2,000
MMM mtoa hoja umeliona hili BUT mbona hujiulizi wakimbizi wa Syria,yemen,iran,Iraq etc etc wanakimbilia western countries na sio Saudi Arabia,Iran,etc etc ?je hili linaweza fanyika pale Iran kwa kanisa kujengwa Tehran?,tujadili kwa facts pls.
Tayari kuna makanisa kadhaa Saudia. Je hujaliona hilo?
 
M

mdoghosho

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
663
Points
1,000
M

mdoghosho

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
663 1,000
Kipindi kile Papa alipoenda Saudi Arabia na kufanya misa na safari ya kihistoria sikukuona kwenye ule uzi. Hahahaha

Ilikuwa ni kama hukuuona vile.

By the way, ninyi mnaweza kuwajengea wabudha hekalu zao ili nao wakiwa kwenye nchi zenu za kiislam nao wapate mahali pa kusali?
Ma shaa Allah.

Kwa heshima na taadhima kubwa serikali ya Japan ikishirikiana na makampuni mengine binafsi imewaenzi Waislam kwa kuwatengenezea sehemu maalumu za kuswalia.

Kuanzia Airport mpaka kwenye mabarabara makubwa (highways) na sehemu zingine za wazi. Jioneeni:

Ahsante Japan.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,260
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,260 2,000
Kipindi kile Papa alipoenda Saudi Arabia na kufanya misa na safari ya kihistoria sikukuona kwenye ule uzi. Hahahaha

Ilikuwa ni kama hukuuona vile.

By the way, ninyi mnaweza kuwajengea wabudha hekalu zao ili nao wakiwa kwenye nchi zenu za kiislam nao wapate mahali pa kusali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka link sijauona wala sijawahi kusikia kuwa Papa kaenda Saudi Arabia.

Kwani Papa akienda Saudi Arabia tatizo ni nini? Mbona anatembelea nchi nyingi tu duniani?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,260
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,260 2,000
MMM mtoa hoja umeliona hili BUT mbona hujiulizi wakimbizi wa Syria,yemen,iran,Iraq etc etc wanakimbilia western countries na sio Saudi Arabia,Iran,etc etc ?je hili linaweza fanyika pale Iran kwa kanisa kujengwa Tehran?,tujadili kwa facts pls.
Mbona kanisa lipo miaka mingi sana Iran? Jionee...
St. Nicholas Orthodox Church in Tehran, Iran.

Tena elewa hayo makanisa Iran yalijengwa na wakimbizi wa Kirusi waliokimbia mapinduzi ya 1917 ya Urusi.

Soma kijana kabla hujakurupuka, Uislam ni mwema sana...

https://www.google.com/amp/s/www.rt.com/news/408825-russia-revolution-1917-iran-church/amp/
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,260
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,260 2,000
... wala sio kanisa bali kwa hekalu la Buddha (dini kuu ya wajapan) kujengwa Riyadh au Jeddah? Huku wanahubiri kuwatenga binadamu wenzao kule wanafurahia kupendelewa na wale wale wanaowatenga! Ajabu sana binadamu hawa wa ajabu!
Hata Tanzania sijaliona hilo "hekalu la buddha"

Utajenga "showoff" tu wakati hakuna waumini. Fikiri.
 
Forum statistics

Threads 1,406,198
Members 532,237
Posts 34,508,287
Top