samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,174
Mh Waziri jifunze kuwa mtulivu unapoaddress technical issues in public.... sio lazima pia kuaddress dip technical issues na company plans kwenye mitandao....
Wananchi wanapaswa kuelezwa tu, tupo kwenye crisis ya umeme kwa sababu za kiufundi, na tuko kwenye maintenance ya mitambo, maintenance itafanya kwa muda fulani na katika kipindi hiki kirescue situation tutakuwa na abcd.
Hayo mambo mengine ya dip technical issues ni ya kujadili na mameneja wako huko Tanesco na serikalini.. bila shaka huko Tanesco mna planning dpt kwa ajili ya maintenance na budgeting, mna finance office, mna maintenance and operation department...Jaribuni kuwa na proper coordination and management mambo yaende na sio huu utoto utoto..