Friday, November 28, 2008
Language in this Blog
Watu kadhaa wamenitumia email kuuliza kwanini natumia Kiingereza kuandika kwenye blog hii wakati "lugha ya taifa" ni Kiswahili. Concept ya "lugha ya taifa" tunaweza kuijadili hadi asubuhi. Kwa kifupi, hapa ni ruksa kutumia Kiswahili au Kiingereza. Binafsi napenda kutumia Kiingereza kwasababu nadhani Kiswahili nakifahamu chote ila Kiingereza ni lugha ngeni kwangu kwahiyo napenda kuifanyia mazoezi zaidi lugha hii ngeni. And the only way to acquire proficiency kwenye lugha ni kuitumia mara kwa mara.
And my sense ni kwamba mtu yoyote ambaye ameweza ku-navigate the web mpaka akafika kwenye blog hii certainly atakuwa anaelewe lugha ya Kiingereza.
Posted by January Makamba at 5:10 PM 2 comments
Hilo ndio jibu alolotoa katika swali kuhusu utumiaji wa Kiingereza....
Posted by January Makamba 2 comments
Friday, November 28, 2008
Language in this Blog
Watu kadhaa wamenitumia email kuuliza kwanini natumia Kiingereza kuandika kwenye blog hii wakati "lugha ya taifa" ni Kiswahili. Concept ya "lugha ya taifa" tunaweza kuijadili hadi asubuhi. Kwa kifupi, hapa ni ruksa kutumia Kiswahili au Kiingereza. Binafsi napenda kutumia Kiingereza kwasababu nadhani Kiswahili nakifahamu chote ila Kiingereza ni lugha ngeni kwangu kwahiyo napenda kuifanyia mazoezi zaidi lugha hii ngeni. And the only way to acquire proficiency kwenye lugha ni kuitumia mara kwa mara.
And my sense ni kwamba mtu yoyote ambaye ameweza ku-navigate the web mpaka akafika kwenye blog hii certainly atakuwa anaelewe lugha ya Kiingereza.
Na nyie mbona mmembea bango sana huyu bwana mdogo, hebu chambueni yale anayoyaandika, ahaa! Mwishowe mtaonekana nyie ndio mnaboa kuliko yeye!
Mwangalieni msaidizi wa Rais (kama ni kweli ) anatamka Kiswahili anakijua chote!
Wakati hawezi kuandika sentensi ya Kiswahili bila msaada wa lugha ya Malkia!
Eti Kiswahili anakijua chote. Mama yangu! Hata Shaaban Robert na William Shakespeare wasingeweza kusema Kiswahili na Kiingereza wanavijua vyote mtawalia.
Mtu anaeandika Kiswa-nglish hajui lugha zote mbili, Kiswahili wala Kiingereza!
Na hawezi kusema anachomeka Kiingereza kwenye Kiswahili ili kujifunza Kiingereza, maana huwezi kujifunza Kiswa-, wala -Nglishi, kwa kufanyia mazoezi Kiswa-nglish.
Huyu ni msaidizi wa Rais, mwandika hotuba za nchi ? Nilitegemea awe makini na anachoropoka!
Na wewe Pundit uliyesema unakubaliana kabisa na Makamba, tena kaiga maneno yako unadai, ina maana na wewe unadai unajua Kiswahili chote, sio ? Basi kuanzia leo ukiamua kuandika Kiswahili sitegemei kuona unachomekea vimaneno vya Malkia.
wierd
sasa I'm more keen kuisom hiyo blog kuliko mwanzo
maana Modus Operandi ya wanaompinga JM ni wale wale
wapenzi wa Mwanakijiji
wapendi wa Mbowe
wapenzi wa CHADEMA
mbaya zaidi couple earlier posts za kumpinga JM zilikaa ki inferiority complex tuuu maana sikuona wapi mtu kaja na cha maana zaidi ya kulalama eti ohh ni mtoto wa Makaba ohhh sijui nini
acheni hizo
mnataka alternative views halafu mnaanza kuogopa sijui woga wenu ni nini hasa. Kama hamuwezi kusoma blog ya JM nendeni mkasome yale magazeti anayooandika kijana wenu JJ MNYIKA
By the way hivi huyu mnyika mmemlipia shule au?
Usimchokoze Pundit wewe. Huyu jamaa usikute anakijua Kiswahili kuliko hata wewe na akianza manjonjo na mahunjamati yake ya lugha msije kuanza kumwomba tafsiri
hihihihihihi kumbe na huku umo?We muache awashe tashwishi kuhusu mustakabali wa tafsida ya tafakuri na kanwa zakwe.
Kama sikosei conflict of interests ndizo zilizopelekea hata Said Yaakub kuacha kublog. Inasemekana BBC walimjia juu (just a hear say I am sorry). Sasa huyu sijui atakuwa anabreak news za Ikulu!?
Mama taratibu una uhakika na unachokisema au ndo redio mbao....?
hihihihihihi kumbe na huku umo?
Mimi napenda kuuliza hizi hotuba anazoandika JM wanashauriana na Muungwana au ni yeye akitoka kwenye kitimoto sinza anaandika kisa muungwana yeye ni kusoma tu?
Mwazange,
Ni wapi aliposema ana uhakika ?
Huoni kaweka disclaimer tatu ( kama sikosei...inasemekana...just a hear say ) kutuonyesha wazi kwamba hana uhakika ?
Unajua unachokisema lakini ?
Duh, Safari bado ndefu Watanzania:
Tuanzie hapa
wewe na nani? nani amekuambia nimeleta hapo ili isomwe na wewe? acha ndoto za mchana!Utueleze sisi tuliopo hapa, maana umeamua kuileta hapa ili isomwe, au kuna jingine??
Umama nilionao haunilazimishi kuelezea chochote unachotaka wewe nieleze. Kwa hiyo basi, sijisikii kusema chochote juu ya hilo zaidi ya post niliitoa awali. Okay? HUNIJUI SIKUJUI NA IBAKI HIVYO.Twende hapa
Nilitegemea na umama ulionao kama kweli ni mama ungeweza kuielezea ilikuwaje jamaa kajiwa juu na BBC.
Kama una tabia ya kuchokonoa watu sio mimi, usinilazimishe nifulfill matakwa yako while am not ready, its good to be buffled any way!Then kuna hili
I'm buffled by this....kumbe ilikuwa ni kuchokonoa jambo ili uone watu watareact vipi?? Funny!!
Sipo hapa kukutekenya ili ucheke. Wherever you see my sentences, skip them! You have a lot of senses to read non-senses.Hii hapa
Kona ile ya utani kuna kila aina ya vituko...kama ningekumbana nayo kule, then ningecheka nikakenua meno then nikaendelea kuscroll down kupata vichekesho vingine.
Mwelekeo wako haunihusu kwa sababu nina right ya kutokukupa evidence. Worse come worse mie sio mama wa dataz na nilivyoregister sikuregister kwa ajili ya thank you. Kuonyesha kuwa wewe sio upupu, onyesha senses an jinsi ya kuzianalyse boss of the bosses.Hapa napo
Mwelekeo wangu mimi nimeomba evidence....pindi ukileta evidence...nitakupa thank you then I will move on kwenye ishu nyingine/ I mean thread nyingine.
Tafadhali nisikuchoshe ukapata kesi toka kwa mwenzi wako. Kwa mantiki hiyo usisome post yangu utachoka bure bwereree. Wewe kama nani hapa unashauri hiyo iende kwenye jokes????!!!!. That is my post, i have put there for a purpose, unless uniambie wewe siku hizi ndio mwenye mamlaka ya kuamua niandike nini na wapi. Kama kiswahili kinakushinda nenda shule. Hizo senses zako zinaonyesha kuwa more than non-sense kama ulishindwa kuielewa hiyo post intellectually.Hii Kali
Hapa nimechoka...yaani useme kitu kuhusu mtu then ukitakwa ushahidi unasema huna haja ya kuback up your point...Ndio maana nilishauri iende kwenye jokes....kule nisingekuomba ushahidi asilani...
???
Umeshajump kwenye bandwagon yangu, halafu unataka jifanya kiongozi wangu... wanielekeza cha kufanya!!!!! Kama hujajump kwenye bandwagon yangu haya yote usingeyaleta. Sorry dude, I am not of your type, out of the window!!Huh?!?!?
Hilarious
Samahani sana Mama nimerefuse kujump kwenye bandwagon yako....sababu haileti sense kwenye idara ya fikra zangu. Haoo uliowaona nimejump kwenye bandwagon zao hadi ukanipa heshima tata ya 'mr kiongozi wa bandwagon' pengine walikuwa wanaongea pointi...na usione kama sijawauliza hapa hadharani kwamba sijafuatilia mwenyewe binafsi, huwa nafanya hivyo Mama...just FYI!!!
Kumbe wajua maana????Wheeew Finally umeuliza la Maana
wewe na nani? Painkiller au Invisible. Naona wajikweza kwenye minazi ya wenyewe.Wewe kama Said Yaakub unalolote nae, basi mfate. Isijekuwa kutaja jina lake hapa basi roho yakupwita. Acha chuki binafsi. By the way umempandisha chat kinoma kwa kujifanya wajua kuanalyse visentensi uchwara vya Mama wa non-sense. Ukiwa mtu mwenye sense na mwenye kujua kuongea la maana huwezi kujishusha hadhi yako kupangua visentensi vitano visivyomake sense. You are non-sense than Mama is.Tumewekewa sehemu za kujadili mambo na hususan mambo yetu sisi kama watanzania; nchi iko mrama, nchi inaendeshwa kama banda uani, nchi inaendeshwa kama mtoto wa kambo kwenye familia isiyojali, nchi inaendeshwa kama part time job, na sisi humu ndio tunayoitegemea kuegemeza identity zetu. Sasa tukiiona inakwenda ovyo tuseme, tuelekeze nguvu zetu katika kuirudisha barabarani na sio Sio Said Yakub kajiwa juu na nani BBC.
Ps: Hoja hujibiwa kwa hoja.....Hupandishi mtu mzuka hapa so Silencer akatokea kwa kutokea na kufungia watu hapa....
hihihihihihi kumbe na huku umo?
Mimi napenda kuuliza hizi hotuba anazoandika JM wanashauriana na Muungwana au ni yeye akitoka kwenye kitimoto sinza anaandika kisa muungwana yeye ni kusoma tu?
Kama hizi ndio hoja, basi Silencer unakazi, mbona utafungia sana watu wanaomake sense! Inabidi ufungiwe kwa kumake sense kama hizi..you know what I am saying. Even my first grade daughter can do more than you have done here. FYI, you are the worst person who wrote non-sense today.
Senses zako zingeonekana kama ungechambua the so called immunity ya Mkapa.
Hooo... Thats so Cute....
Mara nyingi wanauwe fulani dhaifu dhaifu wakielemewa na mwanamke kama huyo Mama kwenye hoja huwa wanarukia huku!