Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Makamba? ndugu?......uffffssiii***pow
Leo atakuwa kapata visitors wengi... Mzee Diallo naye naona kaamua kuingia katika Blogs. Sasa vipi mzee Makamba?
Gembe, I will be back to you
Mkuu wangu wa Kamnyonge,Hivi Diallo ni ana PhD.?My foot!
Huyu jamaaa namkumbuka kipindi flani Marekani alikuwa akitafuta diploma sijui..aisee?
he he he..Mkuu invisble na mie nikifikisha post 2000 niwe DR.
BTW: Hizi blogging za kina January kwanini wasije hapa hata wakaingia na majina yao wakajibu hoja kwa hoja? Au wanataka waandike na kusomwa tuuuu?
Mkuu wangu wa Kamnyonge,
Mi wa Utegi, lakini najua kuwa Diallo majuzi kapata PhD. Ngoja nitafute undani wake kisha nitakupa kapata PhD ya nini. Haijapita hata miezi 6 kaipata.
Mkuu wangu wa Kamnyonge, kumbe pamoja na kuwa mjini nakuzidi idadi ya Posts? Basi itabidi upate hiyo Dr. Gembe ukifikia, kaza buti mkulu.

Kujibizana kugumu sana mkuu wangu.Wamesema hawaamini katika kujibizana na watu invisible!
Watu wengine mko wachokozi sana. Mimi siongei, hapo ataendelea GT.Hivi Invisible hile website ya ikulu inafanya kazi? make mara ya mwishi nilipata meseji hiko under construction.
Makamba who??
Some chap nasikia ni speech writer wa Ikulu, mtoto wa lame duck secretary wa CCM. Presidential aid ana muda wa kuanzisha blogu!
Sijasikia high ranking presidential aid anaenda kwenye vi blog kutoa senti mbili zake. Sasa hayo yatakuwa mawazo yake ya Ikulu ?
What lightweights.
Some chap nasikia ni speech writer wa Ikulu, mtoto wa lame duck secretary wa CCM. Presidential aid ana muda wa kuanzisha blogu!
Sijasikia high ranking presidential aid anaenda kwenye vi blog kutoa senti mbili zake. Sasa hayo yatakuwa mawazo yake, ya Ikulu ?
What lightweights!
LOL! Kuhani! Hata mimi nilishangaa sana kuona huyu jamaa ameanzisha blogu yake. Hawana kazi huko Ikulu mpaka wanapata muda wa kuanzisha blogu. Naona kuna haja ya kuwaajiri part time ili kupunguza gharama za serikali. Akishapiga masaa yake matatu kwa siku basi kazi imekwisha anaenda kushughulikia blogu yake. Ndiyo matatizo ya kuwa na Ikulu ambayo haina taratibu zozote zile!!! Kila mtu anaamua mambo kivyake vyake na hakuna wa kutia neno.
Tatizo unadhani hata ni muda basi, huo anaweza kujipangia well and good. Inakuwaje hasa pale mambo ya conflict of interest na news za huko Ikulu? Mind you Ikulu sio dailynews! Labda angeanzisha blog ya ikulu na si ya January mfanyakazi wa Ikulu. Hivi hawa watoto huwa wanakuwa coached na kuwa oriented na ethics za kazi zao kweli?
This is a news to me.Wazee mbona mnamuandama mzee wa St John University? Nafikiri with Msc In Conflict Analysis ingekua vyema akaja hapa kutusaidia kutatua baadhi ya migogoro ya members humu ndani!! tehe tehe ....just kidding