January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.
Dude please.....yaani hiko kijamaa ni nazina kwa taifa? Ndio maana tumelosti sisi....khaaaaaaa

Kweli kabisa hata nafasi aliyopewa pale Ikulu amepewa kishikaji lakini anapwaya sana na kamwe hawezi kuwa hazina ya Taifa. Yaani Watanzania ni mbumbumbu kiasi hicho hadi JM apandishwe chart na kuwa hazina ya Taifa!!!!?
Labda Makamba aseme ni hazina ya familia ya makamba.
 
Wamesema hawaamini katika kujibizana na watu invisible!

Sasa wanataka kijibizana na wanyama!!? LOL!!!!
Wanajua hawana points zozote ndiyo maana wanaogopa majadiliano. Mwaka 2008 bado kuna watu wanaogopa majadiliano!!! Kazi kweli kweli!!!!
 
Hebu acha hizo Mwafrika wa Kike. Unamjua January wewe? Kwa taarifa yako, hana skendo yoyote Minnesota au popote. Huo ni wivu wenu tu nyie mnaosota.

Hapa tunajadili kuhusu blogu yake, hayo mengine ni ya kwako

........ndiyohiyo

January, since you seem to be a linguist who cannot use his national language to blog, I am hereby supporting the fact that you have a serious scandal that is soon or later going to explode.

Mwafrika wa Kike might not be in position to credibly give the exact descriotion of the scandal, I will do so at my time of choosing.

All, I know is that, numerous times you have extracted some lines and quotes from other famous speeches without aknowledging the fact that you did so, and that may cost your job and reputation as someone who was never qualified anyway.

NY Times may not be enough.
 
unamanisha jamaa ni bingwa wa kukopi na kupaste au anadesa hotuba za watu?
 
unamanisha jamaa ni bingwa wa kukopi na kupaste au anadesa hotuba za watu?

Kuna scandals nyingi tu kuhusu huyu jamaa, hasa Tanzania. Kuiba hotuba za watu ni vitu vya kawaida ambavyo tumevizoea toka kwake. Copying articles as they are in his blog is another one, and cannot call these serious scandals kwa maana zinamdhalilisha Rais ambaye inaonekana upeo wake kuelewa uwezo wa mwandishi wake wa hotuba ni ndogo

Scandals ni deals alizosukuma bongo. Scandals ni vituko vyake akiwa serikalini ambazo tunamsubiri nazo hadi achukue fomu, au apewe ukatibu mkuu au Ubalozi, hapo tutapasua jibu kwa wembe wenye makali.

Hapa mkuu wangu kachukua article nzima kwa bahati nzuri hajasema kwamba yeye siyo mwandishi. Kadhalika hotuba nyingi tu za Rais tumeshazipitia na kugundua kwamba kuna paragraphs nyingi sana zinaibwa tokwa kwenye hotuba za watu, kwa hiyo muamue myinyi

Falling Fortunes, Rising Hopes and the Price of Oil | Stratfor "Who can question this" ????????

Sasa jamani tukirudi kabisa kwenye huu uwezo wake wa kitaaluma nadhani atakuwa anamshinda JJ Myika hiyo hakuna swali, lakini ni kweli ana uwezo wa kumfikia Cheche Mjomba Dr. Shayo, au rhetorical Mwanaharakati Mashaka?

Without being partial, tuseme ukweli kabisa ikiwa January can be a match to these two guys. Mnyika na wakina Kabwe ni watoto kwake, Ila I highly doubt uwezo wake, ukimlinganisha na hawa wawili ambao pia nahisi CCM inajaribu kuwapapasa ili kujibu mapigo ya Chadema? Lakini ni kweli watatuweza Chadema?

Kwani CCM inajaribu kujipanga mapema na vijana wake kama ifuatavyo

Jimbo la Mbowe = Dr. Shayo
JJ Mnyika, Ukonga = Mashaka
Jimbo la Kabwe = January (I dont know how this is going to work). Very credible intelligence sources within CCM

______________________
"Power to the people"
 
hivi yule blogger wa CHADEMA bwana JJ MNYIKA alishakwenda shule au?

maana ile blog yake utafikiri anaandika kitabu

inatia uviu kuisoma

namuunga mkono January na najua hii yote ni CHADEMA kuleta woga usio na kichwa wala miguu

kazi kwenu
Na vipi blogu ya yule ALIYEFOJI CHETI CHA KIDATO CHA NNE?Hivi dhambi kubwa kati ya hizo mbili ni ipi?Kutokwenda shule au kufoji cheti cha shule?Let's be honest,GT ukianzisha blog yako haitokuwa tofauti na ya January,na pengine "mbovu kuliko ya Mnyika" (according to your analysis).Unajua kwanini?Because you're TOO SUBJECTIVE.Unasema blog ya January ni bora kuliko mwanakijiji.com sio kwa vile huo ni ukweli bali ni kwa ajili ya hizo never ending beefs zako na Mwanakijiji.Ili uweze kuwa OBJECTIVE,you have to move beyond that.And if you do so,utagundua kuwa si kweli kwamba wote wanaomkosoa January ni WAPENZI (neno tata hilo) wa Mwanakijiji,Mbowe,na Chadema.

Humuungi mkono January kwa vile yuko sahihi bali ni kutokana na MAPENZI YAKO KWAKE (Yes,it's MAPENZI just as you claimed wote tunaompinga tuna MAPENZI na mwanakijiji,mbowe,etc)

Inasikitisha kuona mtu resourceful na knowledgeable kama wewe unashindwa kutumia vizuri uwezo na kipawa chako cha ujuzi wa mambo na umahiri wa uchanganuzi wa masuala.
 
Hebu acha hizo Mwafrika wa Kike. Unamjua January wewe? Kwa taarifa yako, hana skendo yoyote Minnesota au popote. Huo ni wivu wenu tu nyie mnaosota.

Hapa tunajadili kuhusu blogu yake, hayo mengine ni ya kwako

........ndiyohiyo

How did you know kwamba jamaa hana skendo?Unless you're January's nanihii!!!
 
How did you know kwamba jamaa hana skendo?Unless you're January's nanihii!!!

Mlalahoi
Usipoteze muda kuuliza kupata ukweli. Hakuna kiumbe dhaifu kama January unless kuna watoto tofauti wa Makamba wanaoitwa January, if is the one I know. Let's forget about him...jamaa ni mapengo mzee hata akipewa meno ya bandia hang'ati mtu. Ni hiyo surname tu
 
Heheheheheeee.....nimeipenda hiyo diss aisee....
 
Zisi boi bwana izi veri fani.
Hi seidi
Ze boi hezi no tithi, if samubodi givu him tisi the boi steel wili not baiti. Ai laiki theti.
 
Hivi January Makamba ni nani kwenye taifa hili hasa?, kuwa msaidizi wa kuandika hotuba za rais kwa ku kopi na kudesa ndo issue mnayopinganiana hapa hata kuanza kulinganisha nani ni bora?.

Kila nikipotea nikirudi lazima ukute UPUPU humu, tena UPUPU huo unatoka kwa watu makini.

GT, kuwa kidogo ndugu yangu, personal beefs hazikujengi........zinakubomoa
 
ila January anapenda sana uandishi wa makala na vitu kama hivyo tangu zamani sana sana....kwa kuanzisha blog sio kama ameiga ni hobbie yake pia.....kwa hilo nampongeza anaendeleza alichokianza miaka 15 iliyopita
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom