January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

JE PICHA HIZI NDIO ZIMEMNYIMA JANUARY UWAZIRI..?

Baadhi ya watu wametoa maoni kwamba kilichomnyima January Uwaziri ni picha zake zinazodaiwa ni matusi dhidi ya Magufuli.

Mwishoni mwa wiki iliyopita January akiwa na kile kinachoitwa "Hasira za kuukosa uPM" alituma picha za michoro inayoonesha kumdhihaki Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram.

1. Mchoro wa kwanza alionesha Mtu aliyeadumbukia kwny pango lenye baridi kali, akapewa ngazi ya kutoka huko lakini badala ya kutumia ngazi hiyo kupanda, akaanza kutumia miti ya ngazi hiyo kuwasha moto na kuota ili kupunguza baridi. Mwishowe ngazi itaisha na ataendelea kuteseka na baridi.

Watafsiri wa picha wanasema ni kama vile January alimaanisha mtu huyo ni Magufuli. Kwamba kitendo cha kuwa Rais ni ngazi ya kujikwamua na umaskini. Ni fursa ya kupiga hela na kutoka kwny pango lenye baridi (umaskini). Ikulu ni ngazi ya kutengeneza hela Lakini Magufuli anaacha kupiga hela anahangaikia kutafuta sifa. Mwishowe muda wake wa uris utaisha na atabaki na umaskini wake (atabaki kwenye bariki).

2. Picha ya pili inaonesha nguruwe wakiwa wametandikiwa red carpet ili kuingia kwny gari. Badala ya kupita kwenye capet wakaanza kula uchafu na kuchafua capet.. Kwa lugha rahisi ni haramu kumtandikia nguruwe carpet maana atalichafua tu..

Makamba ni kama alikua anajaribu kusema kuwa walimtandikia Magufuli Red Carpet (kwa maana ya kumsaidia kuingia Ikulu) lakini hawakujua kuwa Magufuli ni kama nguruwe. Amefika Ikulu anaanz kuchafua carpet badala ya kutulia.

3. Picha nyingine ni jamaa aliyefungwa minyororo akijaribu kuipaka rangi. Picha hii January aliitolea ufafanuzi mwenyewe akasema ni watu ambao wamefungwa na vitu fulani kwenye maisha yao lakini badala ya kukata minyororo inayowafunga wanaishia kuipaka rangi.

Hapa ni kama vile January alikua anamaanisha Magufuli hata afanyeje hawezi kufanya mabadiliko yoyote maana amefungwa na minyororo ya CCM na hawezi kufurukuta.

4. Picha ya mwisho ni ya binadamu aliyejivika mkia wa bandia akijaribu kuruka kama nyani.. Lakini nyani waliovaa suti wakawa wanamshangaa binadamu huyo na kumdhihaki maana hata arukeruke vipi hawezi kuwa kama nyani. Mwishowe ataishiwa nguvu na ataanguka chini kisha nyani watamshughulikia.

Hapa ni kama vile January alikua anamaanisha Magufuli hata aruke vp hawezi kuwazidi ujanja nyani (viongozi wa CCM). Kwa hiyo afanye afanyavyo lakini mwishowe atachoka na kuanguka chini na hapo ndipo viongozi wa chama watamfundisha adabu...

Baada ya kupost picha hizi kesho yake akapost kuwa anajiandaa kuwakilisha vizuri watu wa Bumbuli bungeni, hali iliyoonesha hana mpango na Uwaziri. Baadhi ya watu wamesema picha hizi zilimfikia Magufuli, akakasirika na kuamua kumpiga chini kwenye baraza la Mawaziri. #Tuendelee_Kuisoma_Namba
 
Mbona mnajikomba komba kwa January!? Si mtulie baraza la mawaziri litangazwe! Kelele zote hizi za kazi gani sasa!? Au ndio mnawashwa tu kumtaja taja January? Lowassa hauziki tena kwa sasa mnamtaja taja January tu.
 
Mliambiwa PM ni MAJALIWA mkabisha....pamoja name bahasha tatu... watu walijua sembuse hili?
 
JE PICHA HIZI NDIO ZIMEMNYIMA JANUARY UWAZIRI..?

Baadhi ya watu wametoa maoni kwamba kilichomnyima January Uwaziri ni picha zake zinazodaiwa ni matusi dhidi ya Magufuli.

Mwishoni mwa wiki iliyopita January akiwa na kile kinachoitwa "Hasira za kuukosa uPM" alituma picha za michoro inayoonesha kumdhihaki Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram.

1. Mchoro wa kwanza alionesha Mtu aliyeadumbukia kwny pango lenye baridi kali, akapewa ngazi ya kutoka huko lakini badala ya kutumia ngazi hiyo kupanda, akaanza kutumia miti ya ngazi hiyo kuwasha moto na kuota ili kupunguza baridi. Mwishowe ngazi itaisha na ataendelea kuteseka na baridi.

Watafsiri wa picha wanasema ni kama vile January alimaanisha mtu huyo ni Magufuli. Kwamba kitendo cha kuwa Rais ni ngazi ya kujikwamua na umaskini. Ni fursa ya kupiga hela na kutoka kwny pango lenye baridi (umaskini). Ikulu ni ngazi ya kutengeneza hela Lakini Magufuli anaacha kupiga hela anahangaikia kutafuta sifa. Mwishowe muda wake wa uris utaisha na atabaki na umaskini wake (atabaki kwenye bariki).

2. Picha ya pili inaonesha nguruwe wakiwa wametandikiwa red carpet ili kuingia kwny gari. Badala ya kupita kwenye capet wakaanza kula uchafu na kuchafua capet.. Kwa lugha rahisi ni haramu kumtandikia nguruwe carpet maana atalichafua tu..

Makamba ni kama alikua anajaribu kusema kuwa walimtandikia Magufuli Red Carpet (kwa maana ya kumsaidia kuingia Ikulu) lakini hawakujua kuwa Magufuli ni kama nguruwe. Amefika Ikulu anaanz kuchafua carpet badala ya kutulia.

3. Picha nyingine ni jamaa aliyefungwa minyororo akijaribu kuipaka rangi. Picha hii January aliitolea ufafanuzi mwenyewe akasema ni watu ambao wamefungwa na vitu fulani kwenye maisha yao lakini badala ya kukata minyororo inayowafunga wanaishia kuipaka rangi.

Hapa ni kama vile January alikua anamaanisha Magufuli hata afanyeje hawezi kufanya mabadiliko yoyote maana amefungwa na minyororo ya CCM na hawezi kufurukuta.

4. Picha ya mwisho ni ya binadamu aliyejivika mkia wa bandia akijaribu kuruka kama nyani.. Lakini nyani waliovaa suti wakawa wanamshangaa binadamu huyo na kumdhihaki maana hata arukeruke vipi hawezi kuwa kama nyani. Mwishowe ataishiwa nguvu na ataanguka chini kisha nyani watamshughulikia.

Hapa ni kama vile January alikua anamaanisha Magufuli hata aruke vp hawezi kuwazidi ujanja nyani (viongozi wa CCM). Kwa hiyo afanye afanyavyo lakini mwishowe atachoka na kuanguka chini na hapo ndipo viongozi wa chama watamfundisha adabu...

Baada ya kupost picha hizi kesho yake akapost kuwa anajiandaa kuwakilisha vizuri watu wa Bumbuli bungeni, hali iliyoonesha hana mpango na Uwaziri. Baadhi ya watu wamesema picha hizi zilimfikia Magufuli, akakasirika na kuamua kumpiga chini kwenye baraza la Mawaziri. #Tuendelee_Kuisoma_Namba

Tafsiri ya hizo picha zinaonesha kiwango cha juu cha utovu wa nidhamu kwa JPM kwa nafasi na jitihada zake kwa watz.
 
kwahiyo JM anasahau kuwa in a near future huyo anayemzihaki atakuja kuwa mwenyekiti wake ktk chama! ?
Waliozoea kubebwa maishani hawajui nini maana ya kusota!
 
Mtu akishakua Rais wa JMT na Amir jeshi mkuu anaweza kuamua usiione kesho na ikawa hivyo!
 
Ur right almost 100%...

Very good interpretation...!! I suggest, Rais Magufuli, awe MACHO sana sanaaaa na huyu January Makamba, na huyu JM hayuko peke yake, so USALAMA TISS, "must" quickly increase strict security to the President Magufuli... ASAP, on top of that, TISS must call JM and ask him strict intelligence qns under closed doors, this is the BIGGEST threat to our President, and JM must be pinned down and accountable...!!!

JM bado kajisahau kabisaaaaaaaa, kuwa JK bado yuko madarakani, so he can DO WHATEVER he wants, when he wants, where he wants, to whoever he wants in this country...!!
JM, amtishia RAIS...!? Omg, i believe JK alimlea vibaya sana huyu kijana...

Rais Magufuli, he should ACT now, huyu JM na group lake ni THREAT sana kwa Rais Magufuli...!! Na Rais naamini atachukua hatua, HAKUNA MTU anatakiwa kudhubutu kumtisha maisha ya mwananchi yeyote, SASA RAIS wa nchi anatishwa...!!?

TISS, 💉✂💉✂ vaeni ushetani kidogo now..!! Fanyeni yenu..!

Usalama wa Taifa uliopo sasa hauwezi kumwajibisha mtoto huyu, kwa sababu huyu kijana anadhani kikwete bado anatawala, na hao wakuu wa usalama waliteuliwa na kikwete, Magufuli salama yake ni kufumua hiyo TISS na kutoa USALAMA WA KIKWETE na kubuild pure and royal defense, hiyo ndiyo njia pekee inaweza kuokoa strategy zake, otherwise wataspoil ili utawala uliopita uendelee kuonekana relevant.
 
Back
Top Bottom