Kitendo cha January Makamba kupost picha twitter ambazo zina maana tata kimeibua minong'ono kuwa mbunge huyo wa Bumbuli amepigwa chini kwenye baraza la mawaziri.
Hivyo atabaki mbunge tu kama wabunge wengine.
Endapo itakuwa ni kweli basi hii moja ya mambo ambayo wananchi hawakutegemea kabisa huku wachache waliamini angeweza kuwa waziri mkuu na wengi wakiamini angeweza kuwa waziri na si naibu waziri.
Ni mdini sana january, acha akioneDogo jeme at his best.......Hii kitu imekaa mbaya sana kwake
Wadau wenye weledi kujua kuhusu hizi picha zilizotolewa na hili gazeti, naomba mtujuze tafadhari, ilikuwa na maana gani..!
Ujinga ni kubandika picha usizojua maanake na kutakam kuaminisha watu unachojua ndio sahihi
Hilo gazeti nazidi kulidharau kila siku
mnamtukana kijana wa watu hata hamjathibitisha km yeyeametenda hayo.
tuwe waungwana basi japo kidogo,
yumkini si yeye mwenye machapisho hayo.
tuvumiliane.
wengine ktk mitandao wamekaa kichuki tu.
huwezi jua mtu alichogombana na mwingine mpk anmletea hizo post za ajabu.