Huu mchezo wa saikolojia ambao makamba hawezi. Majimbo gani hayo??? Tume ina kigugumizi cha kutangaza matokeo hata ya hapo dar??? Isitoshe tume na jeshi la polisi wanatoa kauli gani kwa kura zinazokamatwa kwenye magari ya serikali??? Kura feki zimezagaa mpaka bar, zimetoak wapi???
Tume haitangazi matokeo ya Ubunge! Matokeo ya Ubunge yanatangazwa na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, miji, manispaa na Majiji. Kila mtu mwaka huu anajifanya kushabikia siasa ila wengine weledi nil. Kwa kuwa Chadema ndo mlijifanya mna kura nyingi mkatoa wazo la kubandikwa matokeo vituoni ili mjumlishe, uwezekano ni mkubwa kwa anayosema January Makamba. Kwani CCM haina watu wanaojua hesabu za kujumlisha na huku walikuwa na mawakala kila kituo Nchini? Tumesikia Reporters wa Radio 1 huko Mikoani , majimbo mengine kati ya Kata 28, CCM imeshinda udiwani Kata zote! Hapo unategemea nani Kashinda Ubunge na kuongoza Urais?. TAFAKARI!!
january kutangaza matokea kabla ya tume ni halali kabisa......Maalim kutangaza kabla ya tume,ni haramu......
Hakuna kitu kama hicho cha kushughulikiwa. Sisi ni taifa moja na tofauti za miezi miwili ya kampeni haiwezi kutufarakanisha. Vijana tuungane tujenge nchi yetu, sasa NI SAA YA MABADILIKO YA KAZI. KWA MAGUFULI NI KAZI TUU!
CCM ilishashinda huu uchaguzi kabla ya hata uchaguzi wenyewe.
Tundu Lissu, Mbowe, Prof Safari, Gwajima, Prof Baregu, utafiti wenu umeifikisha hapo Chadema mlipewa onyo lakini tamaa ya pesa imewazika.
na bado polisi wamefunga tallying center ya ukawa,ya January ruksaAjabu hiyo!
Akiongea na waandishi wa habari muda huu January Makamba amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za mabandiko ya Tume ya uchaguzi katika vituo vya matokeo, ni kuwa CCM mpaka sasa imeshinda majimbo 176 kati ya majimbo 264 na imekomboa majimbo 12 kutoka upinzani.
Aidha amesema Maalim seif Hamad kutangaza matokeo ya ushindi wa ZNZ ni mzaha
=============================
Emu tupe chanZo cha NEC ikithibitishaa kutangaza walau jumla ya majimbo 150 ukiachana na 176 ya makambaAjabu watu hawaoni tofauti ya Makamba na Maalim Hamad. Makamba anaongelea matokeo ya majimbo ambayo tayari NEC kupitia kwa Wakurugenzi waliokasimiwa madaraka, wametangaza matokeo.
Maalim Sharif Hamad anazungumzia matokeao ya urais ambayo kwa mujibu wa sheria lazima yatangazwe na NEC au ZEC. Hiyo ndiyo tofauti. Kama sheria si nzuri, hilo suala lingine. Njoo Katiba ya Warioba!!!
makamba ndio wenye tume! inaweza kuwa kweli,
kweli nyani haoni kundule,
yani Sief kutangaza matokeo ni mzaha ila Makamba kutangaza matokeo ni ushujaa??
Emu tupe chanZo cha NEC ikithibitishaa kutangaza walau jumla ya majimbo 150 ukiachana na 176 ya makamba