Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,289
Huyu Makamba Amechanganyikiwa.Sijui Amejipangaje.Naona Analia lia tuu.
Mwaka huu ndio watawajua wabongo
Huyu Makamba Amechanganyikiwa.Sijui Amejipangaje.Naona Analia lia tuu.
Tulieni wana UKAWA sindano iingie taratibuuuuuu.............
Hadi sasa Muungano wa UKAWA unaelekea kushinda majimbo zaidi 165 kwa mujibu wa Matokeo yanayokusanywa kutoka maeneo mbalimbali huku ikithibitisha mawaziri na Manaibu Waziri zaidi ya 13 wameangushwa kwa kishindo
Ni vyema tume ya Uchaguzi sasa ikajiandaa kutangaza matokeo Rasmi kwa Haraka ili kudumisha Amani na pia tuendelee kufuatilia kinachojiri Kwenye Matokeo ya Urais Zanzibar na Muungano
Hadi Sasa Matokeo ya Zanzibar yameshajumlishwa kinachopaswa kufanyika ni itifaki ya Tume kutimia tu kama inavyoelekea kwenye Urais wa Muungano.
Ben Saanane
Wasalimie kwenu sengerema
Watanzania bado wanaimani kubwa na Chama Cha Mapinduzi
Nasema akiingia EL la kwanza aisafishe tcra ndio kikwazo cha Uhuru wa watz
Rafiki yangu Root tatizo ujue ni kumuondoa Dr Slaa na kumuweka fisadi jizi lowasa. Mlaumu mwenyekiti wako Mbowe. Watu wengi hata mimi pamoja na u CCM wangu nilikuwa nimechoka na chama changu, ila baada ya Dr Magufuli kuja na fisadi lowasa kukimbia na kwenda kuinunua chadema hapo ndiyo upepo uliharibika. Hivyo usijilaumu hata kidogo wewe endelea tu kusherehekea ushindi wa Dr Magufuli. Nyumbani kwangu nimeandaa mbuzi karibuHaya bana wacha tuendelee kuwa masikini milele... nimenyoosha mikono juuu... na watatushughulikia sana mwaka huu
Hakuna kitu kama hicho cha kushughulikiwa. Sisi ni taifa moja na tofauti za miezi miwili ya kampeni haiwezi kutufarakanisha. Vijana tuungane tujenge nchi yetu, sasa NI SAA YA MABADILIKO YA KAZI. KWA MAGUFULI NI KAZI TUU!
Watanzania bado wanaimani kubwa na Chama Cha Mapinduzi