fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,405
Makamba mwongo, sana sana anajaribu kupima upepo je goli la mkono liyapokelewaje?
Amepiga hesabu ya theluthi mbili exactly ya wabunge wa ccm! Hilo goli la mkono liko wazi mno, Malaika watashughulika na makamba wananchi tulieni!
Ktk comment zte nlizopitia wew ndo upo makin maana umepga pale pale
Ukichukua 264*2/3=176
Huitaj maelezo meng kuhus iyo orodha