Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,428
- 139,470
January hongera kwa kuchaguliwa uwaziri mkuu
wezi wa mitihani wanatokomezwa
Swali moja la msingi sana.Kwa hiyo unakubali kwamba kukamatwa kwa vijana wa UKawa ni uonevu ?
Na je Makamba naye anapaswa kukamatwa kwa kuwa anafanya vile vile walivyofanya vijana wa Ukawa?
Swali moja la msingi sana.
Hebu na mimi niongezee hoja nyingine muhimu sana.
Ikiwa January Makamba aliitisha kikao cha waandishi wa habari tarehe 26/10/2015 na kutangaza mwelekeo wa matokeo na kueleza kuwa mgombea wao Magufuli anaelekea kushinda kiti cha Urais, kazi ambayo inadaiwa kuwa inapaswa kufanywa na NEC peke yake.
Ikiwa pia Maalim Seif siku hiyo hiyo ya tarehe 26/10/2015 naye akaitisha kikao cha waandishi wa habari na kueleza mwelekeo wa matokeo kuwa anaelekea yeye kushinda Urais kazi ambayo inadaiwa inapaswa kufanywa na ZEC pekee.
Sasa ni kwa nini ZEC iliufuta uchaguzi wa Zanzibar kwa kutumia kigezo hicho cha Maalim Seif kuyatangaza matokeo ya Urais,
lakini wakati huo huo NEC wakashindwa kuyafuta matokeo yaliyompa ushindi wa Urais Magufuli baada ya Makamba naye kutangaza waziwazi kuwa Magufuli anaelekea kupata ushindi wa Urais??!!!!!!!!!
Maalim alijitangaza ni mshindi kwa 53% na akawaambia ZEC wamtangaze yeye
Hata kama alitangaza asilimia aliyoshinda, bado jukumu la kumtangaza mshindi wa kiti hicho cha Urais lilikuwa la ZEC.Maalim alijitangaza ni mshindi kwa 53% na akawaambia ZEC wamtangaze yeye