Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Mmekomboa 12 ,mkapoteza mangapi?,,
Kijana vipi unajua lipi KIGOMA MJINI hahahahaaHivi wewe unajua maana ya matumizi ya breaking news?
Ni wazi NN na hili nililisema mahali lakini kwa ubishi watu hawakutaka kusikia.
Kijana vipi unajua lipi KIGOMA MJINI hahahahaa
Kijana vipi unajua lipi KIGOMA MJINI hahahahaa
Dr. Slaa atadumu milele moyoni mwangu...
Mbowe nakuombea safari njema, lkn njaa yako ya kutunisha utumbo wako binafsi umetuonesha RANGI halisi za.....
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.
Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.
Hongera CCM. Hongera Magufuli
Haya bana wacha tuendelee kuwa masikini milele... nimenyoosha mikono juuu... na watatushughulikia sana mwaka huu