January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

dos santos

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
256
128
Akiongea na waandishi wa habari muda huu January Makamba amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za mabandiko ya Tume ya uchaguzi katika vituo vya matokeo, ni kuwa CCM mpaka sasa imeshinda majimbo 176 kati ya majimbo 264 na imekomboa majimbo 12 kutoka upinzani.

Aidha amesema Maalim seif Hamad kutangaza matokeo ya ushindi wa ZNZ ni mzaha

=============================

Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

Source: Azam Two

NEW UPDATES OF THE CONSTITUENCIES RESULTS:
CCM has succeeded to win the following constituencies;
1. Chalinze- Ridhiwani J. Kikwete
2. Kibaha Mjini- Sylvester Francis Koka
3. Gairo-Ahmed Shabiby
4. Mvomero-Suleiman Ahmed Saddiq
5. Chemba- Juma Selemani Nkamia
6. Bahi-Omar Ahmed Badwel
7. Kibakwe-George Boniface Simbachawene
8. Mpwapwa-George Malima Lubeleje
9. Mtera- Livingstone Joseph Lusinde
10. Dodoma Mjini-Antony Peter Mavunde
11. Geita Mjini-Costantine John Kanyansu
12. Geita Vijijini- Joseph Lwinza Kasheku
13. Nzega Mjini- Husein Bashe
14. Nzega Vijijini- Dk Hamis Kigwangala
15. Iramba Mashari- Mwigulu Mchemba
16. Singida Kaskazini- Lazaro Nyalandu
17. Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo
18. Musoma Mjini- Vedastus Mathayo
19. Kisarawe- Suleiman Jafo
20. Ilemela- Angelina Mabula
21. Kahama- Jumanne Kishimba
22. Nanyamba- Abdalah Chikota
23. Morogoro Mjini- Mohamed Abod
24. Tunduru Kusini- Eng. Ramo Makani
25. Bumbuli- January Makamba
26. Ilala- Musa Hasan Zungu
27. Nachingwea- Hasan Elias Masara
28. Nkasi Kaskazini- Ally Mohamed Kessy
29. Muleba Kaskazini-Charles John Mwijage
30. Mpanda Mjini-Sebastian Simon Kapufi
31. Mpanda Vijijini -Moshi Selemani Kakoso
32. Katavi -Issack Aloyce Kamwele
33. Nsimbo -Richard Philip Mbogo
34. Kavuu-Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe
35. Songea Mjini-Leonidas Tutubert Gama
36. Nyasa-Eng. Stella Martin Manyanya
37. Tunduru Kaskazini-Ramo Matala Makani
38. Tunduru Kusini-Daimu Iddi Mpakate
39. Peramiho-Jenister Joakim Mhagama
40. Madaba- Joseph Kisito Mhagama
41. Mbinga Mjini- Sixtus Raphael Mapunda
42. Nkenge -Diodorus Buberwa Kamala
43. Kongwa - Job Y. Ndugai
44. Kondoa -Sanda Edwin
45. Kondoa Vijijini-Dkt. Ashatu Kijaji
46. Mlalo-Rashid Abdakkag Shangazi
47. Pangani -Jumaa Hamidu Aweso
48. Kilindi-Omari Mohamed Kigua
49. Mkinga-Danstan Luka Kitandula
50. Handeni Vijijini-Mboni Mohamed Mhita
51. Muheza-Adadi Mohamed Rajabu
52. Korogwe Mjini-Mary Pius Chatanda
53. Korogwe Vijijini - Stephen Hillary Ngonyani (Maji Marefu)
 
Last edited by a moderator:
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

Source: Azam Two
 
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

Hivi wewe unajua maana ya matumizi ya breaking news?
 
Alhamisi hauto onekana tena humu ndani...

Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli
 
Haya bana wacha tuendelee kuwa masikini milele... nimenyoosha mikono juuu... na watatushughulikia sana mwaka huu
 
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

Mwaka huu lazima mhame nchi maana lowasa ndiyo huyooo anakuja kwa kasi ya ajabu
 
Akiongea na waandishi wa habari muda huu January Makamba amesema CCM mpaka sasa imeshinda majimbo 176 kati ya majimbo 266 na imekomboa majimbo 12 kutoka upinzani.

Aidha amesema Maalim seif Hamad kutangaza matokeo ya ushindi wa ZNZ ni mzaha

Ni ushindi wa halali kabisa
 
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli
Mkuu wewe umejumlishia wapi? Maana wenzenu wamewakamata.
 
January Makamba anajua madhara ya kutangulia mbele ya tume? Kikitokea cha kutokea atasema
 
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

makamba ndio wenye tume! inaweza kuwa kweli,
 
Back
Top Bottom