Ati wamerudisha majimbo 12 how? Jimbo la Bunda limeenda Chadema,Moshi vijijini limeenda Chadema,Serengeti limeenda Chadema,Tarime mjini limeenda Chadema,Arumeru Magharibu limeenda Chadema,Siha limeenda Chadema.
January Makamba anasema wamerudisha majimbo 12 anasema katika jumlisha zake ajumlishe na haya then atoe then aje tena hapa wamerudisha au wamepoteza?Hayo ni majimbo machache tu.Huyu mtu ni mfa maji kweli kweli ati wameshinda majimbo 176 wakati Tume bado haijatangaza au kwa kuwa ndio wene tume na yeye akiwa ndio mtoa maagizo kwa hili hakuna ubishi endeleeni kuamrisha Tume.Basi na kule Zanzibar waambieni ZEK wamtangaze Maalim Seif Sharifu Hamad maake keshashinda hadi muda huu.Acheni masihara mtaingiza nchi vitani na hamtapona nyie na familia zenu hata mkimbie nchi we'll catch you one after another