January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

Haya bana wacha tuendelee kuwa masikini milele... nimenyoosha mikono juuu... na watatushughulikia sana mwaka huu

Hakuna kitu kama hicho cha kushughulikiwa. Sisi ni taifa moja na tofauti za miezi miwili ya kampeni haiwezi kutufarakanisha. Vijana tuungane tujenge nchi yetu, sasa NI SAA YA MABADILIKO YA KAZI. KWA MAGUFULI NI KAZI TUU!
 
Taarifa inayotolewa hivi punde na Januari Makamba ni kwamba CCM imeshapata matokeo yote ya uchaguzi. Hata hivyo, wanasubiri mamlaka husika kutangaza matokeo hayo. Hata hivyo amesema kuwa CCM imefanikiwa kushinda majimbo 176 huku ikikomboa majimbo 12 yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani.

Amesema pia mwenendo wa matokeo ya Urais hauna tofauti na matarajio ya wana CCM na Watanzania wengi.

Hongera CCM. Hongera Magufuli

Source: Azam Two

Tofauti ya ya Malim Sefu na Makamba nini?
 
Huyu Makamba Naona Amekua Chizii.Subiri Matokeo ya Tume wewe.Tulia unyolewe weeee.
 
Mimi sielewi ina maana tume mpaka sasa bado tu hawajamkamata makamba kwa kufanya kazi ya tume ya kutangaza matokeo ya uchaguzi ya ubunge.....aisee asipokamatwa basi nchi hiii kitanuka

hiyo ni estimate ,,,,hajataja figure ni makisio tu,tofauti na maalimu seif kaweka mpaka figure.......
 
Don't get fooled with senseless emotions. Sijaongea Slaa kushinda uraisi wala EL kuanguka.

Tuunganishe utii wa mapinduzi ya kweli kama aliyoyaasisi Dr. Slaa ili tuje imara zaidi 2020.

Kosa lishafanyika...

Chama kisafichwe... Makapi na matapishi yatagute pango jingine, tuendelee alipoushia Dr.

Hata 2020 wapinzani hawawezi kushinda.

CCM itatawala Tanzania kwa zaidi ya karne. Naweza hata kusema milele kabisa.

Kama unabisha, basi tusubiri 2020.

Mark these words.

Na situmii 'senseless emotions' kama unavyodai.

Ni objective observation tu.
 
poleni sisiemu...rombo wamepoteza halmashauri na hilo ni breaking news au....
 
Back
Top Bottom