January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

Tuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha

...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....

Wewe uliona mbali
 
Nakumbuka nilimwambia mtu mmoja kuwa
"Kwenye siasa You can't predict the future"
 
Tatizo la wahusika wa huu mchezo wote ni ile tabia ya kibongo ya kutaka kumfanya mtu awe mnyonge, ajione hajui lolote maishani mwake.

Kila nafsi siku zote inahitajiwa kuambiwa inaweza, inahitaji kupewa moyo wa matumaini, ili kila kilichopo ndani ya mtu kiweze kujitokeza. Hakuna apendaye kudharauliwa, kutetwa tena kwa dharau.

Tatizo la U-daresalama kuwajaa watu kiasi cha kujiona wao ndio TZ na TZ ni wao, very wrong perception.
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Kuna kaandunje kanatembea uchi huku mtaani kwetu. Wala sijasumbuka kuuliza ni nani.
 
Tuanze na huyu wa kutembea Dar nzima akiwa uchi,then tufuate huyu mwingine aliyesema atakojoa kutoka mafinga mpaka Tunduma,haya tunasubiri picha zenu mkitekeleza ahadi zenu wakuuu
 
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.

Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.

Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.

Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.

Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.

Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...

Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Tafadhali tekelezeni ahadi zenu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom