Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,594
Hahahahahahahahh!!!!Ngoja mzee wa majipu amtimue ili tuone mche wako, ila kama hujatahili mkuu ukatahili kabisa usije kutuletea ukawa aibu.

Ndo utembee na mafuta sasa maana watu pia wamebadilika.Elewa nyakati zinabadilika
Karibu mkuu, uwanja ni wako. Lakini ukumbuke kula kwanza matunda ya kutosha na mboga za majani ili kimba liwe laini lisikutoe jasho. Pia hatutaki mafunguMimi nitakunya kuanzia dar mpaka kibaha
HahaahhhahaNiko hapa temeke wailes nasubiri upite
Kojoa sasa toka mafingaMimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Tembea uchi sasaMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
We unajibu watu wakati bado umevaa nguo au tayari?Elewa nyakati zinabadilika
Waseme lingine tenaTuache kujipa ukichaa sababu ya siasa zetu hizi zilizoharibika .....tulisema hivi hivi kwa EL ambaye ndiye aliyempeleka ikulu JK lakini akakatwa na mizengwe kibao huko CCM pamoja na vitisho vingi vya hapatatosha
...Makamba ni mtu mdogo sana kwenye corridor za CCM na system .....nyie mnatafutia wenyewe kumpa sifa nyepesi JPM akimtimua kama house boy ....
Mkuu naona umetimiza ahadi yako[emoji28]Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma
Ulimaanisha akifukuzwa uwaziri?Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mzee umefika wapi kwenye haya matembezi yako ili nije nikuunge mkono ha ha haMakamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Mtaani kwetu utapita lini?Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni.
Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA.
Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli.
Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki.
Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au hakushinda. Anajua kabisa mafuko ya hela za kampeni zilitoka wapi.
Nakwambieni Makamba, Kigwangala, Mwigulu, Nape hawa vijana hawa wanaujua vizuri "ushindi" wa Magufuli...
Na Makamba akitemeshwa mzigo nitatembea Dar nzima nikiwa uchi. Hawezi fukuzwa yule.Tuliaambia tatizo ni mfumo corrupt sasa mnashuhudia.
Umeshakunywa maji?Mimi nitakojoa kutoka hapa Mafinga mpaka Tunduma