January Makamba acha mchezo huu mara moja

Anamatatizo huyu eti kwenye hotuba yake mlimani city alisema atatumia technology ya hali yajuu na yakisasa kufanya mikutano na wananchi nikashanga tecno yenyewe ni Skype huyu sijui anaona watu wote ni wanakijiji???
 
Sasa skype ndo technolojia ya hali ya juu??? Hafai kabisa kwa lolote.
 
Hizo msg zake zinasemaje. Mwambie anitumie na mimi
 
Hapa umeandika nn sasa!!
 
Kama vipi ashtakiwe maana ndo alikomalia kupitishwa sheria mbovu ya makosa ya mtandao
 
Mbona hiyo sms haina shida mkuu...mbona unapokeaga sms za kutorithika nazo nyingi tu ..lakin umeiona ya makamba? if ur not interested achana nayo hivyo....
 
Acha uhuni wewe,aku pm vp namba yake? Kwani makamba alim pm namba? Wewe tuma na siyo kumtetea huyo mjinga anayetaka kuvaa viatu visivyoweza kumfaa.

Umeona eeh eti PM namba wtf...
 
Mbona hiyo sms haina shida mkuu...mbona unapokeaga sms za kutorithika nazo nyingi tu ..lakin umeiona ya makamba? if ur not interested achana nayo hivyo....

Wakati wanapitisha sheria hawakujua haya? Wewe ukimtumia akaku sue utasemaje? Sitaki sms za usumbufu
 
Soma tena ulichoandika kisha jipime uwezo wako wa kufikiri.
 
jina unalotumia limeakisi maneno uliyoandika "kishombo"zaidi
 
Mbona hayo wengi tumepitia...anafuta huruma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…