Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Labla akulipe kwa $ utapata faida ila akikulipa kwa tsh hapo lazma uingie mfukoni kumshinda na hasara juu!
Mna uhakika ni yeye? Kutuma meseji inayokuja na jina sio ishu, hata wewe unaweza kutuma SMS kwa kutumia jina lolote kama sender name.
Lakini mimi sihitaji huu upuuzi hata kama ni huduma hiyo source ni yeye hivyo atambue kuwa si kila mtu anahitaji. Halagu si wa ndo waliopitisha sheria ya cybercrime? Na TCRA si ndio regulator? Wameruhusuje huu upuuzi? Ananizidishia hasira tu
Andaa pesa njoo tumshtaki, nitasimamia kesi yako ila uwe na dau la kutosha kushindana nae kisheria, uawezaa????????????
Yan angekua na busara mnoo...kama izo automated sms zingekua na link za Ku-"un subscribe"...ili mtu ambaye hayupo interested akwepe uo usumbufu...😡😡😡😡😡
Yeye ndio mwenye dhamana na jina hilo na wanaomsapoti wote wana ruhusa yake kutumia dhamana ya jina lake kwenye harakati zake.
Assuming wao ndio wametuma hiyo SMS! Huna jinsi ya kuverify source ya hiyo SMS, as I said before, anyone can send an SMS using any name as the sender!
Tazama picha hapo attached. I was testing an online SMS gateway nikajitumia SMS. Ningetumia jina J.MAKAMBA na kuandika maneno yoyote, kwa lengo lolote, ungesema ni yeye?
Kwa mfumo nilioutumia mimi kutuma hiyo SMS, sidhani kama wanaweza kufanya hivyo as nimetumia kampuni iliyoko nje ya nchi, ambapo hawana jurisdiction.Nadhani hapo TCRA wanaweza ku verify mkuu ndio maana kuna hatua za kuchukua kabla ya mahakamani
Kwa mfumo nilioutumia mimi kutuma hiyo SMS, sidhani kama wanaweza kufanya hivyo as nimetumia kampuni iliyoko nje ya nchi, ambapo hawana jurisdiction.
Kuwa makini kabla hujaamua kutumia sheria! Nilikuwa nakushtua tu....
Okay mkuu. Tuma sms kwa namba yangu basi ili niweze kuamini kuwa mtu yeyote anaweza kutuma sms kwa yeyote hata kama hajui number yake. Tuma na nitarudi hapa nikiwa nimeelewa vinginevyo lets not continue with the argument. Lengo kuu aacha kabla sijatumia sheria
Okay mkuu. Tuma sms kwa namba yangu basi ili niweze kuamini kuwa mtu yeyote anaweza kutuma sms kwa yeyote hata kama hajui number yake.Tuma na nitarudi hapa nikiwa nimeelewa vinginevyo lets not continue with the argument. Lengo kuu aacha kabla sijatumia sheria
Ni PM namba yako
Nahitaji ushauri wa kisheria kwanza kuhusu vipengele vinavyombana kisheria. Pia lengo mahususi ni kutaka kumuonyesha kuwa sio wote wanafurahia huu usumbufu wa sms zake tusizoziomba hivyo aache. Akiendelea hatua zaid zitauata
Kumbe hukunielewa. Kuhusu namba, wote tunajua kuwa those are simply incremental digits kwahiyo SMS zinatumwa at random! Yani inaandikwa program inayotuma SMS kwa namba moja baada ya nyingine kwa mitandao husika kwa kujumlisha moja kwa kila namba. Kwahiyo hujawa targeted, imetokea tu.
Mimi nimeongelea kuwa mtu anaweza kumuimpersonate huyo jamaa, au yeye anaweza kujitetea hivyo.
Mkuu whatever it may see to be. This is not lawful and I dont need it. Nina number zaid ya moja ningepata kwenye zingine pia.
I ma or I may not dont underestimate my ways just because yours are difficult.