Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Huyu jamaa hamna kitu kichwani,ndio maana aliiba mitihani pale Galanos.
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
Ndivyo walivyo CCM. Hawana tofauti na mafia syndicate.
 
Rais mtarajiwa, leo ameamua kuongea na wanachuo, amewasahau wafanyabiashara ili wamsaidie mwaka 2015, nimeamini kikwete kaufanya urais uwe rahis!
 
Kwa vile hamjui hii democrasia imejngwa kwa fedha na kodi za watu wa mataifa,ili watanzania wawe na democrasia nzuri inayoweza kimbiza watawala kwa amani.NA pesa nyingi sana MCC wamekula na usaniin wao kuwa wanaelewa democrasia kumbe wameshika terminologies .Hii inaonekana kwa Zitto, wajinga wengine,MCCM yote yamekiri kuwa kuwa yana alengo la kuia CDM halafu ianjiatamba imeleta democrasia....

Maandiko yako yananitia shaka kuwa wewe si Mtanzania.
 
Rais mtarajiwa, leo ameamua kuongea na wanachuo, amewasahau wafanyabiashara ili wamsaidie mwaka 2015, nimeamini kikwete kaufanya urais uwe rahis!

kaka umesahau kidogo! Urais ataanza sultan mwinyi(hussein), aje sultan kawawa(vita kawawa), aje sultani nape, aje sultani makamba(january), aje sultani kikwete(riz1)
watoto wa karume watakuwa wanakua!
 
KUIUWA CDM = KUJARIBU KUUKATA MKONO WA MWEEZI MUNGU AMBAO NI KIMBILIO LA WANYONGE NA WALE WANA ODHULUMiWA KTK NCHI YAO
 
kaka umesahau kidogo! Urais ataanza sultan mwinyi(hussein), aje sultan kawawa(vita kawawa), aje sultani nape, aje sultani makamba(january), aje sultani kikwete(riz1)
watoto wa karume watakuwa wanakua!
ni kweli mkuu, tuendako hayo ndo yatatokea...
 
Kikwete kaharibu kila kitu..sasa u rais unaonekana ni kitu rahisi tuu...
 
First month Maropes hana lolote. Mwizi wa mitihani huyo. Alafu anamtumia dadake kukusanya mkwanj. Like father like son. Kazi kuropoka......Hawa ndio wanaokiua chama dume CCM....Waongee sera siyo mipasho

Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.

Hebu edit kwanza hii kitu.
 
Wewe mwanamke sijui ni mwanga? Hivi unalala na mumeo saa ngapi wakati kila muda huko kwenye mitandao. Haufai kabisa......Nyie ndio mnaovuruga chama chetu CCM...........

Hongea sera siyo umbea !

Mwanga ni mama yako. We nani wakuwekea watu mipaka ya maisha yao. Ndo nyie mnaozaliwa watoto na wenzenu.
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
tangu dadake alipomegwa ili apate fedha za kampeni mimi niligundua si kiongizi ajaye bali ni kielelezo cha wanasiasa hafifu na wenye akili mdololooo
 
Nilikuwa naona january ana akili kumbe na yeye kaweka nazi kichwani
 
Urais umekuwa mwepesi,ngoja na mie nitangaze nia,eti JANUARI,watoto wanataka kurithi.
 
Chadema kitajiua chenyewe kwa upumbavu na udikteta wakina Mbowe na Slaa. Mbunge wangu hatuna haja ya kupambana na chama mfu bali endeleeni kuhudumia watanzania waliowaamini na kuwakabidhi ikulu ili waendelee kuwakabidhi next Tanzania general election.
 
Back
Top Bottom