Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.
Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.
Nilikuwa naona january ana akili kumbe na yeye kaweka nazi kichwani
wanachojidanganya ccm nikudhani kwamba kuiua chadema ndio kuijega ccm, watu hawaichukii ccm kwa kuwepo chadema watu wanaichukia ccm kwa vitendo vyao vya kutokuwajali wananchi katika maslahhi ya nchi,hivyo watu wanaipenda chadema kwa kuona kwamba labda watawajali watakapopata madaraka ya kuongoza nchi, hivyo kama wanamkono katika kuleta mgogoro ndani ya chadema na watu wakielewa hivyo ccm wajue kwamba watakuwa wanaijenga chadema na wataelewa wazi ni kwa nini wanawapandia chuki hivyo chadema itajengeka zaidi ya wanavyofikiria. ndio maana kila siku nawaambia ccm hila zao ndizo zinazokijenga chadema
Namfaham ndg January kama kijana mwenye hekima na busara (pengine) kuliko umri wake.
Kama ni kweli ameongea maneno hayo basi itakua alipitiwa kwani yeye ni mmoja kati ya wengi tunaoamini kuwa bila upinzani imara serikali(CCM) haiwezi kuwa imara.
Tumsamehe kwa kua ni kosa la kwanza.
Nataka kufanya utafiti wa uhusiano wa uongozi ndani ya ccm na uwezo wa kifikiri.
kabla hajapewa uwaziri Janiari alikuwa Kichwa, sasa kawa wakawaida sana. Nahisi kaacha kusoma na kusiliza.
s
hebu tuwekee hapa mfano mmoja tu wa alichokifanya kwa kutumia hiyo akili smart aliyonayo , unafiki hautakiwi humu jf , lete ushahidi tuone , kuhongwa simu kusikufanye uwe mbumbumbu kiasi hicho !Hivi mbona we ni sloopy sana,hakuna mtu mweka akili smart kwa vijana kama huyo,ww una bwabwaja tu,siasa yenyewe umeijua juzi ulipomaliza form four
kama ni hivyo, kilichomfanya january aropoke ni nini ?Chadema inajifia yenyewe, wala haihitaji mtu kuiua...