Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
wanachojidanganya ccm nikudhani kwamba kuiua chadema ndio kuijega ccm, watu hawaichukii ccm kwa kuwepo chadema watu wanaichukia ccm kwa vitendo vyao vya kutokuwajali wananchi katika maslahhi ya nchi,hivyo watu wanaipenda chadema kwa kuona kwamba labda watawajali watakapopata madaraka ya kuongoza nchi, hivyo kama wanamkono katika kuleta mgogoro ndani ya chadema na watu wakielewa hivyo ccm wajue kwamba watakuwa wanaijenga chadema na wataelewa wazi ni kwa nini wanawapandia chuki hivyo chadema itajengeka zaidi ya wanavyofikiria. ndio maana kila siku nawaambia ccm hila zao ndizo zinazokijenga chadema
 
Ww jamaa unaposema dogo mwepes ww n mzito?kama mzito umelifanyia nn taifa laKo la tz mpaka sasa compared to huyo mwepes unaemsema,?watz ifke mahal tuache dharau za mtandaon,unakuja jitu zima n zeee la miaka 50 huko linashinda JF kudhihak utendaj wa wenzao,kama kweli ungekuwa na busara ungekuwa unatoa changamoto na sio 24/7 unaponda tu watu na mafanikio yao na kaz za kujenga chama mixture taifa ww mchumia tumbo unahangaika huku mwsho wa sku unaanza lalama mliahid maisha bora kwa kila mtz yapo wapi akat ww kitasa unashinda jf......watanzania baadhi si rizk
 
Wewe mwanamke sijui ni mwanga? Hivi unalala na mumeo saa ngapi wakati kila muda huko kwenye mitandao. Haufai kabisa......Nyie ndio mnaovuruga chama chetu CCM...........

Hongea sera siyo umbea !

Ushasema kila muda sipo. Basi sasa ntakuwapo.

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Harafu ndiyo majua yanashabikia viongozi WA kariba hii? Nimemtoa thamani January. Kinachomtofautisha na baba yake ni umri.
 
Huyu ni naibu waziri na ni miongoni mwa wanaokaa katika baraza la mawaziri kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu leo hii badala ya kujadili na kutamka mambo ya msingi ya kulikwamua Taifa hili na umasikini uliokubuhu pamoja na elimu duni yeye anachoona cha muhimu ni kupambana na CHADEMA, ukweli unabaki kuwa viongozi kama hawa ndio wanaoliangamiza Taifa kwa sasa.
 
Mie kinachonifurahisha zaidi kutoka kwa hawa wajingajinga wetu ni kwamba wapo kama fisi mwenye njaa anayemfuata mtu kwa nyuma akiamini kuwa mikono yake huyo mtu itafika mahali itadondoka naye atapata mlo wake na aendelee kuishi vizuri

CDM ni imara na ndio kwanza inazidi kujengeka
 
Chadema kitajiua chenyewe kwa upumbavu na udikteta wakina Mbowe na Slaa. Mbunge wangu hatuna haja ya kupambana na chama mfu bali endeleeni kuhudumia watanzania waliowaamini na kuwakabidhi ikulu ili waendelee kuwakabidhi next Tanzania general election.

Kwa nini idadi ya wabunge 2010 imepungua magamba? Je, vua gamba ilikuwa kwa ajili ya nini? Kwa nini nafasi ya katibu mkuu mmewabadilisha mara kwa mara mlowapa nafasi hiyo?
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.

Haongelei kumaliza rushwa ? Kuketa huduma nzuri hosp ? Maendeleo ya Nchi yeye analia na kuia Chadema ?
 
Kwa nini idadi ya wabunge 2010 imepungua magamba? Je, vua gamba ilikuwa kwa ajili ya nini? Kwa nini nafasi ya katibu mkuu mmewabadilisha mara kwa mara mlowapa nafasi hiyo?

Subiri 2015 ndio uje kuniuliza tena hilo swali.
 
january makamba ni MTU MDOGO SANA kwenye nchi hii , ambaye atapotea baada ya aliyembeba kwa mbeleko ya chuma JK kuondoka madarakani , hajawahi , hana na wala hatakuja kuwa na uwezo wa kusambaratisha cdm , amuulize baba yake yusufu , ambaye cdm imechangia kumstaafisha , POOR JANUARY !
 
Ww jamaa unaposema dogo mwepes ww n mzito?kama mzito umelifanyia nn taifa laKo la tz mpaka sasa compared to huyo mwepes unaemsema,?watz ifke mahal tuache dharau za mtandaon,unakuja jitu zima n zeee la miaka 50 huko linashinda JF kudhihak utendaj wa wenzao,kama kweli ungekuwa na busara ungekuwa unatoa changamoto na sio 24/7 unaponda tu watu na mafanikio yao na kaz za kujenga chama mixture taifa ww mchumia tumbo unahangaika huku mwsho wa sku unaanza lalama mliahid maisha bora kwa kila mtz yapo wapi akat ww kitasa unashinda jf......watanzania baadhi si rizk

Waalimu wako ndio walikufunza uandike hati kama hizi? Wepesi wa huyu dogo ulidhihirika kitambo pale alipoiba mitihani akiwa Galanos haya nenda kanywe uji!
 
Huyu ni naibu waziri na ni miongoni mwa wanaokaa katika baraza la mawaziri kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu leo hii badala ya kujadili na kutamka mambo ya msingi ya kulikwamua Taifa hili na umasikini uliokubuhu pamoja na elimu duni yeye anachoona cha muhimu ni kupambana na CHADEMA, ukweli unabaki kuwa viongozi kama hawa ndio wanaoliangamiza Taifa kwa sasa.
hata cheo alichopewa ni kwa vile tu ni mtoto wa yusufu makamba , hana uwezo , kama kuna anayejua UWEZO ALIONAO JANUARY HADI KUPELEKEA KUJAZIWA MIJIVYEO atujulishe humu jf , uwezo hana bali anabebwa na mfumo tu .
 
Back
Top Bottom