Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.

akavae pam
 
CCM hawajui ufisadi ni uovu,soko huria,decomrasia, CCM hawajui hata rushwa ni nini,ndio maana wana takrima, hawajui hata globalization perse, wala usitawi wa taifa ni vitu gani..nayebisha aandae mdahalo halafu apite ktk ya hizo terminogies utaona jinsi wasivyo jua.Hata haki za binadamu.

Wanadai wao ndio wameleta maendeleo hadi ya CDM, wanadaiw ao ndio wameruhusu uhuru wa kuongea,wao ndio wameruhusu wabunge wa upinzani bila hivyo wsingekuwepo.Halafu ukiwauliza sasa mziki na ulinzi n mashinikizo kwa tume kuachia ushindi vilikuwa vya nini ndipo utaona CCm sio civilized kihivyo.

Macccm yakishakariri kitu utayasikia yakirudia rudia kama kasuku...na wapinzani wajinga wajinga wenye sifa.utawasikia wakitaja terminologies ambazo zipo ktk chat a siasa kwa fujo, na kila walkiongea hutumia kidogo adverbs na vimaneo vipya ya kiswahili amabvyo watz wanayaogopa kujifanya wanajua sana.SIku zote husema ni upepo mtupu.Ukiwabana kwa maneno wanayoyatanka tuu watakuja juu wewe na mimi nai aanajua?
hakafai hata kuwa monitress
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.
Dogo alitawaliwa na pepo wachafu>muulize kwa yalotokea Monduli anasemaje au ndo kuiua CDM.Muulize Sokwe (WAHASIRA) aliyesema CDM ni chama cha msimu ,kitakufa kama vingine alifika wapi zaidi ya kuaibika na mfumo haramu wa SISIEMU?Tuwasamehe mwaka huu TUTAWAZIKA wengi kutoka NGOME yao.
 
Unaongea kama unachukuliwa na maji.

Hata mtoto mchanga mwenye akili kama yako anaweza kugundua wewe and people like you, upstairs you are empty.Thinking capacity of you is just like a dying donkey atakuwa anapiga mateke hata wanaotaka kumuokoa na kifo.

Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.
CCM wameisha maliza kazi yao, suburini November ndio mtalijua Jiji..Hivi kweli bado mnayo matumaini hasa baada ya kumfuata Lowassa na kina Rostam. Kuweni japo na aibu hata kidogo basi...
 
Halafu wengine mnasema January anafaa kuwa rais wa nchi hii! Bora Juma Nature awe rais wa nchi hii kuliko huyu February
wagaa na pwani ni reject ktk soko la watumwa.sasa mnawapa wawaongoze?
 
Huyu naye atupishe hapa na upara wake..dume zima kazi kuhangaishana na akina Mange
 
Back
Top Bottom