Januari Makamba adai CCM wataimaliza CHADEMA

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CHADEMA km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CHADEMA..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CHADEMA ipo ktk hali ngumu.
 
Hajitambui huyo mkuu
arudi akajipange asicheze na nguvu ya umma
Shame on him

Hawa ndio vijana wa Voda fasta..nao wanataka kuwa marais..hawajui kuwa nchi wafadhili zinailisha CCM ili ijenge democrasia nchi na kuwa na vyama pinzani vyenye nguvu na uwezo wa kufanya nchi iwe bora.Dogo mwenye akili km ya Zitto wapo busy sana kubomoa kila kitu halafu wanajipeleka mbele kuwa wanajua democrasia sana kuliko wengine.

NIliwahi sema hakuna elimu Tanzania inayoweza pimwa kwa vyeti...watu hawaelimiki.
 
Nadhani wanadhani hawa wanaojiuzuru kufuata mkumbo ndio wameimaliza nguvu chadema,maneno anayosema makamba ni ya ajabu sana yaani anadhihirisha kwamba yeye ni mpiga kura au hata wapinzani wakiwakataa watalazimisha ushindi ndio maana Kikwete kawaongezea wakuu wote wa vyobo vta usalama ili waweze kubaki kwenye nafasi zao kuhakikisha CCM inashinda, Makamba peleka salamu hata kwa mwenyekiti wako hakuna aliyee juu ya nguvu ya umma musitegemee mchezo muliocheza milele wa kufoji kura mtawaze safari mutaliwa time na kugaragazwa mchana peupe
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.

Yani mshikaji unaakili sana tungepata Watz 100 kama wewe nchi ingekuwa mbali sana. Watanzania wenzangu hebu angalieni mifano ya viongozi tulionao
 
Ukweli mtupu kasema

Kwa vile hamjui hii democrasia imejngwa kwa fedha na kodi za watu wa mataifa,ili watanzania wawe na democrasia nzuri inayoweza kimbiza watawala kwa amani.NA pesa nyingi sana MCC wamekula na usaniin wao kuwa wanaelewa democrasia kumbe wameshika terminologies .Hii inaonekana kwa Zitto, wajinga wengine,MCCM yote yamekiri kuwa kuwa yana alengo la kuia CDM halafu ianjiatamba imeleta democrasia....
 
sasa hivi naanza amini watu pori ni watu pori tuu,elimu, hela exposure haviwezi wastaarabisha au wafanya waelimike au kijiamini zaidi.

Kwa ujumla hawa washenzi hawajui maana ya democrasia au umuhimu wake.Hawajui maana ya competitive edge wala fair competition.
 
Huyu ndiyo kiongozi wenu kijana, Je nyie vijana mko vp??
Mnasikitisha.
Umeme, maji, huduma za afya, miundombinu, elimu hamjui lolote ktk taifa hili mnahangaika na vyama vya upinzani then mnajisifu, hivi mna akili sawasawa kweli nyie???
 
makamba january ni zaidi ya vjana wote wa chadema

Acha kufuru wewe..haya matakataka ya CCM mwenzao ni Zitto..wanashika terminologies wasizo zijua..hata my young kid akiangalia soka anajau maana ya competitive games na sportsmanship..time pinzani ikimuumiza mchezaji waupande wa pili badala ya kucheza mpira kwa weledi..huwa anachukia sana.

ZItto na Makamba na matakataka mengine mengi tuu yanayojiita vijana HAWAJUI HATA MAANA YA DEMOCRASIA ACHILIA MBALI ASPECTS ZAKE NA APPLICTAION ZAKE.hUU NDIO UKWELI MCHUNGU KWA HAWA VIJANA ,SIKU ZOTE NASEMA HUWA WANAKARIRI TUU TERMINOLOGIES NA KUBEBWA NA MATUKIO NA SYSTEM DHALIMU NA YA WAJINGA.

kauli za dogo kwa mtu mwenye akili haikustahili semwa hadharani.....ni aibu ,uovu, na alistahili kemea na kila mtu.
 
Dogoyupo busy kupanda cheo gang ya magaidi wanaotaka ua usitawi wa nchi yetu walidhani wanatibu homa ya CCM.

Mtatoa usitawi wa nchi na kila kitu kafara ili kuuponya uhai wa CCM aliyependwa sana na shetani.Ila mtaishia kujiongezea hatia.
 
Akiongea na vinaja wa CCM wa umoja sijui wa vyuo vikuu.Dongo kaanza na misemo maarufu ya mwalimu..Eti wana mbinu, wana nia ya kushinda.Na thisi time eti wataishinda na kuimaliza CDM km NCCR..Dogo anakiri kuwa waliiua NCCR.na wana Nia na CDM..Ila anasahau kuwa hata kam kweli wangekuwa wanaweza si kauli ya mtu anayejua democrasia.Wao kuua wengine ndio kushindana.

Namhurumia sana dogo ,kaona maigizo yao bado yanamdanganya kuamini kuwa CDM ipo ktk hali ngumu.
Dogo hajitambui role yake. Yeye hajaota meno anataka kuendesha daladala wakati anafaa kupiga debe kwa sasa. Halafu anakifu kwa ubinafsi eti katiba ibadilishwe kuruhusu watoto kama yeye wagombee urais. Kitendo cha kutojitambua naona ni kosa kubwa na huenda wazee wasimsamehe. Sijui kwa nini hashtuki yanayompata mwenzake zitto.
 
Nilidhani anasema wata hakikisha wanaua na kuangamiza malaria, ujinga na umasikini kumbe anatangaza kuua jumuya yenye kupambana na ujinga,maradhi na umasikini! kweli hekima ni kitu muhimu sana!
 
Dogo hajitambui role yake. Yeye hajaota meno anataka kuendesha daladala wakati anafaa kupiga debe kwa sasa. Halafu anakifu kwa ubinafsi eti katiba ibadilishwe kuruhusu watoto kama yeye wagombee urais. Kitendo cha kutojitambua naona ni kosa kubwa na huenda wazee wasimsamehe. Sijui kwa nini hashtuki yanayompata mwenzake zitto.

yaani hao jamaa waliokuwa wakiwapa kazi hawa vijana huko nje , kwa jisni walivyokuwa mafundi wa kutumia terminologies na mbwembwe wakadhani dogo walikuwa wakielewa wanachokifanya.wakija siki haya matamshi watajisikitika sana kwa Africa.
 
CCM hawajui ufisadi ni uovu,soko huria,decomrasia, CCM hawajui hata rushwa ni nini,ndio maana wana takrima, hawajui hata globalization perse, wala usitawi wa taifa ni vitu gani..nayebisha aandae mdahalo halafu apite ktk ya hizo terminogies utaona jinsi wasivyo jua.Hata haki za binadamu.

Wanadai wao ndio wameleta maendeleo hadi ya CDM, wanadaiw ao ndio wameruhusu uhuru wa kuongea,wao ndio wameruhusu wabunge wa upinzani bila hivyo wsingekuwepo.Halafu ukiwauliza sasa mziki na ulinzi n mashinikizo kwa tume kuachia ushindi vilikuwa vya nini ndipo utaona CCm sio civilized kihivyo.

Macccm yakishakariri kitu utayasikia yakirudia rudia kama kasuku...na wapinzani wajinga wajinga wenye sifa.utawasikia wakitaja terminologies ambazo zipo ktk chat a siasa kwa fujo, na kila walkiongea hutumia kidogo adverbs na vimaneo vipya ya kiswahili amabvyo watz wanayaogopa kujifanya wanajua sana.SIku zote husema ni upepo mtupu.Ukiwabana kwa maneno wanayoyatanka tuu watakuja juu wewe na mimi nai aanajua?
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom