Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Mie nilikwambia Mkuu Viol, avatar ya huyo mrembo uache kuangalia kipindi kirefu kiasi kile au itakutia wazimu. Sasa umemuota na katika ndoto mrembo amekuwa mtamu kupita maelezo. Kazi kwako ya kuanza mchakato na huyo mrembo nanihii 🙂🙂

Last edited by a moderator:

BAK mkuu haya majaribu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

unakumbuka enzi hizo?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
ni jini mahaba. huwa wanatumia sura tofauti tofauti...stimes hata sura za ndugu au watu unaowaheshimu. is very dangerous.. wanaleta bahati mbaya sana kwenye maisha. kama hautachukua hatua mapema, mambo yako yataanza kwenda vibaya taratibu taratibu! na kama uko kwenye mahusiano yanaweza kuharibika au kuvunjika kabisa. inshort ni ndoto mbaya
Aisee jana niliota nipo na binti moja maarufu humu MMU tuna-do,sijawahi kuona hata sura yake,sijawahi kumtumia hata pm,sijawahi kumsalimia hata kwenye thread,ila huyu mrembo alikuwa mtamu kwenye ndoto yangu,,...baada ya kuamka nilijikuta nimejichafua.

Huyo mrembo sijawahi kum-pm jamani,huwa namwona kwenye threads nyingi,hasa yupo kwenye siasa na MMU,majukwaa mengine anabip,ila nilivyokuwa naye ndotoni nakumbuka sura yake,sijui ndo yake halisi au vipi,amesuka nywele,black beauty,si mwembamba wala si mwembamba kivile.

Wadau huyu mrembo amenifanya nipoteze protini zangu bure,heri hata tungekuwa na mazoea,hatuna hata mazoea maana kwenye threads iwe siasa,mmu au wapi namwona mbishi.

Wakuu huyu ndo ubavu wangu au ndoto tu?

Roho inaumwa kupoteza proteni zangu bure.
 
ni jini mahaba. huwa wanatumia sura tofauti tofauti...stimes hata sura za ndugu au watu unaowaheshimu. is very dangerous.. wanaleta bahati mbaya sana kwenye maisha. kama hautachukua hatua mapema, mambo yako yataanza kwenda vibaya taratibu taratibu! na kama uko kwenye mahusiano yanaweza kuharibika au kuvunjika kabisa. inshort ni ndoto mbaya
mkuu hiyo id jina la kike ila tunajua humu watu wanatuimia id za kike au kiume,but sidhani bhana kufikia huko maana hata sikumtaja na hajulikani ni nani!
 
This is rubbish. Mtu humjui kwa sura. Hujawahi kufanya any kind of communication. Alafu ndotoni .. unamuona ameduka and al bluh blum .. Nikuambie ukweli. ? You have been involved with a DEVIL .. huyo ni jini mkuu ... sahau ksbisa habari ya mrembo wa jf.
we kweli haja kubwa
 
Siasani pengine ni FF umesahau herufi zake.

nishasema herufi inaanza na N anapenda jukwaa la siasa,na mmu zingine anabip,mkuu nisimtaje,watu wengine kuwataja mpaka ridhaa yao
 
Siasani pengine ni FF umesahau herufi zake.

Mmmmh huyu hana comment za kushawishi huku mahabani anachojua ni fujo tu Kule siasani, akili yangu ilikulenga wewe hizo herufi zimegoma
 
Back
Top Bottom