Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Mkuu kuna hii theory...kama unataka ndoto unayoiota ihamie kwa mtu unayemuota basi badili mlalo..ungefanya hivyo demu nae angeota unamgegeda..akipagawa na mapigo anakutafuta

Mh!,hii theory umeitoa wapi?,aliwahi kuniambia marehemu bibi yangu mwaka 1995,kitambo sana,nadhani wwe,utakuwa ni ndugu yangu ama ni rafiki yangu,hebu nijuze kidogo umeipata wapi?

huyo atakuwa ndugu yako,hebu akufafanulie vizuri
 
sasa wewe dogo jifanye unajua kuota ota wasichana wa humu..nakwambia kitu kimoja na unisikilize sababu I have no habit of repeating myself..and I can be nasty if need arises...ota unavyoota, waote wooote lakini siku ukijichanganya eti unakuja humu nimeota nimeota na ukajichanganya ukamtaja "Chumvi" wallah nakuapia sitosita kuipopotoa shingo yako kama kuku wanavyochinjwa pale vingunguti. Mi nimemaliza, ila jiangalie dogo, nshakuonya!!! usijesema brathaa oooh nisamehe!!
 
Back
Top Bottom