Fascination
Member
- Mar 21, 2015
- 86
- 55
Hizo Ndoto Tuu
Bujibuji njoo ukemee pepo._
mkuu ndo nini sasa kuenjoy na id ndotoni wakati hata huja-pm
sijawahi hata kum-pm yaani nina sura yake ya kwenye ndoto kabisa aliyonifanyia siyo kabisa
mkuu hiyo siamini,nabadilishaga milalo sometimes nikiagutuka naweza kulala tena nikakutana na same dreamMkuu kuna hii theory...kama unataka ndoto unayoiota ihamie kwa mtu unayemuota basi badili mlalo..ungefanya hivyo demu nae angeota unamgegeda..akipagawa na mapigo anakutafuta
Ok Id yake inaanza na N
mkuu hiyo siamini,nabadilishaga milalo sometimes nikiagutuka naweza kulala tena nikakutana na same dream
kuna thread moja niliona JF inahusu mambo ya ndoto,kupaa ukiwa umelala,unaweza ukafa pia,haya mambo ya ndoto usiyaone kirahisiUnachange position mkuu..kama kichwa ulikielekeza kaskazini..basi unakipeleka kusini..kesho yake mtt angeku-pm..lol