Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Huyo Atakuwa FaizaFoxy Ndo Yuko Kwenye Majukwaa Ya Siasa Huku Mara Mojamoja Kuja
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna hii theory...kama unataka ndoto unayoiota ihamie kwa mtu unayemuota basi badili mlalo..ungefanya hivyo demu nae angeota unamgegeda..akipagawa na mapigo anakutafuta

Sasa mkuu kama upo ndotoni hujielewi utabadilije mlalo labda utuambie unatania
 
Mtoto Wa Mwanamke Mwenzio Jana Hajalala Kwasababu Yako Ujue Yaani Kila Aonapo Unapokomenti Basi Anachanganyikiwa
Acha upumbavu wewe, una uhakika kwamba mi ni mwanamke au unaropoka tu kama huyo niliyesema anapaswa kusamehewa? Hivi huwezi kutumia akili kwanini nimesema anapaswa kusamehewa? Au unaweza kuniambia umetumia vigezo gani kudhani mie ni mwanamke? Acha ufa'la wa mbwiga.
 
Wakuu mbona nikiota nimelala na mwanadada wa JF kabla sijafanikisha mambo yangu....nazinduka ghafla.....kuna nini hapo au kuna mkono wa mtu...wadau.....??
 
Aisee jana niliota nipo na binti moja maarufu humu MMU tuna-do,sijawahi kuona hata sura yake,sijawahi kumtumia hata pm,sijawahi kumsalimia hata kwenye thread,ila huyu mrembo alikuwa mtamu kwenye ndoto yangu, baada ya kuamka nilijikuta nimejichafua.

Huyo mrembo sijawahi kum-pm jamani,huwa namwona kwenye threads nyingi,hasa yupo kwenye siasa na MMU,majukwaa mengine anabip,ila nilivyokuwa naye ndotoni nakumbuka sura yake,sijui ndo yake halisi au vipi,amesuka nywele,black beauty,si mwembamba kivile.

Wadau huyu mrembo amenifanya nipoteze protini zangu bure,heri hata tungekuwa na mazoea,hatuna hata mazoea maana kwenye threads iwe Hukwaa la Siasa,MMU au wapi namwona mbishi.

Wakuu huyu ndo ubavu wangu au ndoto tu?

Roho inauma kupoteza proteni zangu bure.

Hii kitu inamaliza nguvukazi ya taifa.
 
Back
Top Bottom