Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

Jana nilimwota mwana JF wakati nalala

sasa wewe dogo jifanye unajua kuota ota wasichana wa humu..nakwambia kitu kimoja na unisikilize sababu I have no habit of repeating myself..and I can be nasty if need arises...ota unavyoota, waote wooote lakini siku ukijichanganya eti unakuja humu nimeota nimeota na ukajichanganya ukamtaja "Chumvi" wallah nakuapia sitosita kuipopotoa shingo yako kama kuku wanavyochinjwa pale vingunguti. Mi nimemaliza, ila jiangalie dogo, nshakuonya!!! usijesema brathaa oooh nisamehe!!
nani agombane mkuu,mi nikiota nimerusha bao usingizini basi nimeridhika kiroho safi,halafu mi siyo dogo nina ndevu kama ya panya
 
Mh!,hii theory umeitoa wapi?,aliwahi kuniambia marehemu bibi yangu mwaka 1995,kitambo sana,nadhani wwe,utakuwa ni ndugu yangu ama ni rafiki yangu,hebu nijuze kidogo umeipata wapi?

Hahahah!!!! Labda tunashare bibi mkuu
 
ila we unaonaje,unaletewe sura ya mtu na id yake

Sasa sura ya mtu usiemjua unajuaje kama ndio yuko hivo???? hizo ni ndoto tu kama ndoto zingine. Lakini binadamu anapaswa kuliishi lile analoona bora kwake, kama umeamini hivo, okey
 
nani agombane mkuu,mi nikiota nimerusha bao usingizini basi nimeridhika kiroho safi,halafu mi siyo dogo nina ndevu kama ya panya

tehe tehe tehe, ndevu kama ya panya..tehe tehe tehe tehe..next tym badili mlalo na pindua shuka..naye atafeel kitu kinamuingia
 
Viol nitajie post aliyoshiriki kule siasani aliyo shiriki kama unaikumbuka
 
Last edited by a moderator:
tehe tehe tehe, ndevu kama ya panya..tehe tehe tehe tehe..next tym badili mlalo na pindua shuka..naye atafeel kitu kinamuingia
hizi ndoto bhana unakuta ndo zali
 
Back
Top Bottom