Nchi sio ngumu wanadamu ndo wa hovyoImeshaliwa kichwa tena, hii nchi ni ngumu sana
Mwigulu naye alikuwa akiingia care of vipieni.Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Updates
Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.