Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,371
- 80,207
nimefurahi kukuona jamaa yangu! Vipi tupe updates maisha yalikuwaje bila kuingia jf? Japokuwa sisi tulikuwa tunaingia kwa VPNNdio
Hakuna maandamano makubwa kama yaliyofanyika Kyela, Kimara inasubiriUmekimbia dar ee
Ach basHakuna maandamano makubwa kama yaliyofanyika Kyela, Kimara inasubiri
Nina maana kwamba kuwa Kyela haikuwa kujificha, Maana kulikuwa na Hatari kuliko DarAch bas
Karibu mkuu,mbona ulikuwa kimya sanaNina maana kwamba kuwa Kyela haikuwa kujificha, Maana kulikuwa na Hatari kuliko Dar
Nimekuelewa boss wanguNina maana kwamba kuwa Kyela haikuwa kujificha, Maana kulikuwa na Hatari kuliko Dar
Sawa ,endelea kuwasha VPN mkuu maana DORIA wapo sana.Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Duh 🙄🙄🙄🙄🙄🙄Sawa ,endelea kuwasha VPN mkuu maana DORIA wapo sana.
Bora uendelee kusomeka UKRAIN tu.
Tokea tarehe 6 humu ndani kinawaka kama kawaidaSawa Mkuu
Kuna vpn ambazo ukiwasha umewasha, yani 24 hrs, days, 335½days,Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.