Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,747
- 50,147
KwishaaaaaaaKifungo kwishney📌🔨💪🏿✌🏿
Upo hai nikajua maandamano yamekubebaNdio
Nipo Kyela, KajunjumeleUpo hai nikajua maandamano yamekubeba
Tushakatazwa kushangilia huduma tuliyonyang'anywa kionevu inaporejeshwa na watesi wetu.Woyooo! It's true bwana
Tuliku miss humu mkuuNdio
Mkuu upo? Mimi nilikuwa nawaza sana kuhusu hao watu waliokuwa wanaripotiwa kupotea kuwa huenda u miongoni mwao. Ashukuriwe MunguNdio
Tlaahtlaah,rafiki yangu uko wapiTlaa tlaa
Duh pole kwa kupumzika karibu Tena jukwaaniNipo Kyela, Kajunjumele
Umekimbia dar eeNipo Kyela, Kajunjumele