JamiiForums yarudi hewani

We nyumbu mpuuzi,upo nyuma ya keyboard hauna lolote apo kwa shemeji yako!!
Kutukana viongozi ndo kitu unachojuaa,hata hayo maandamano unakuwa umejifungia chini ya shukaa!..
 
VPN kwa sasa iendelee kuwepo tu hata kama mmeifungulia jf. Mmekuwa wauwaji na hamuaminiki tena, hamtaki kukosolewa maana mmekuwa miungu watu.

VPN all the way!!
Exactly πŸ’― brother
 
Baada ya Sarakasi zao za kupata asilimia 97 wameona warudishe ?

Ili kwenye vijiwe vyao wajiliwaze kwamba wanatenda haki na wana media huru ?

Bure Kabisa...
Kifungo kilikuwa siku 90.(kuanzia Sept 6 mpaka Dec 6)

Siku 90 zimekamilika
 
Kifungo kilikuwa siku 90.(kuanzia Sept 6 mpaka Dec 6)

Siku 90 zimekamilika
Na unadhani timing ilikuwa ni makosa ? Wameshaiba, kwahio sasa hivi hakuna sababu ya kuonekana wanabana media tena wataanza kujifanya wapole, wanajali na jambo kama hili haliwezi tokea tena mpaka miaka mitano mingine - Anything to suit their agendas
 
Haipatikani tena bila VPN
Labda aliyeifungua amepata maelekezo licha ya siku kuisha iendelee kufungiwa.
 
Hatimaye bila VPN haifunguki tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nchi yetu Zimbabwe πŸ™ vijana wenzangu' punguzeni spana Bhana, waiachie bila VPN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…