Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,411
- 15,445
Hawawezi, pressure ni kubwa sanWataifunga sasa hivi kupisha D9 maana kunguni wanazosagiwa serikali ya Who are you mpaka mwiguru defao awezi kufungua anacho kiona humu
Kifungo kwishney📌🔨💪🏿✌🏿Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.