JamiiForums Usiku wa manane

Mwenzako nishakufa hivyo hadi nimezimika.
Kila glass nikinywa maji nakuona kwenye glass. Naweza nikakupa kabisa moyo wangu ukachukulie mkopo benki kwa jinsi nilivyokuelewa
mh!bado sana,ushamkosa mkopo wakati watu tuna cash.
 
Usiku mwema jaman muote mnakimbizwa na mamisukule mazombi yenye damu mdomon katikati ya makaburi huku yakipiga kelele na bundi wakitoa sauti wakat huo moshi Ukiwa unatoka kwenye makaburi misalaba ya makaburi Ikiwa inatetemeka na kutembeaaaaa
Demiss,please! naomba utuwekee ule uzi wako wa kwanza hapa tuchangie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…