Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 4,129
- 10,959
Yani nawwza apa zile bln 300 za uwanja wa arusha wanigeie tu zile decimals tu nijikatae tuMimi kaisari simaanishi mtu kaa kwa kutulia na hiyo picha yako kichwani!
Yani nawwza apa zile bln 300 za uwanja wa arusha wanigeie tu zile decimals tu nijikatae tuMimi kaisari simaanishi mtu kaa kwa kutulia na hiyo picha yako kichwani!
Mimi nasubiri mgao wa pesa za elnino😎Yani nawwza apa zile bln 300 za uwanja wa arusha wanigeie tu zile decimals tu nijikatae tu
Izo zilishaisha kabla ya kupanga naimani ule mpango wa JPM wa kubadili fedha kama ukifanyika kwasasa ghafla tu basi vishikwambi watapata hasara sana pengo lazima ionekaneMimi nasubiri mgao wa pesa za elnino😎
njoo tukeshegood morning guys ndo naamka hapa
niko poa, nilimaanisha njoo nyumbani tukeshe😎tayali nipo mjengoni
uko poa?
kumbe nyumban🤭🤭,, nakuja heaven babyniko poa, nilimaanisha njoo nyumbani tukeshe😎
Kwamba umechoka kukaa mwenyewe lindoni! mbona mda mchache tu.amkeni tupendane
mi sijazoea upwekeKwamba umechoka kukaa mwenyewe lindoni! mbona mda mchache tu.
Hapo sasa tatizo inabidi wasikuache mwenyewe sasa...ubaya pia unaweza zungukwa na watu na bado ukawa mpwekemi sijazoea upweke