ni kweli, mfano saivi umenizunguka ila bado nahisi upweke😅Hapo sasa tatizo inabidi wasikuache mwenyewe sasa...ubaya pia unaweza zungukwa na watu na bado ukawa mpweke
Nimehisi hilo pia ila sio mbaya si nipo hapa...walau hofu inaweza kukuondoka.ni kweli, mfano saivi umenizunguka ila bado nahisi upweke😅
sawa sawa,, sorry hivi wew ni mgeni humu sijawahi kukuona kabla, unatokea wapi muxarNimehisi hilo pia ila sio mbaya si nipo hapa...walau hofu inaweza kukuondoka.
Hapana bhana sina ugeni huo...ila tu ni vile kuna nyakati hatuji kabisa humu.sawa sawa,, sorry hivi wew ni mgeni humu sijawahi kukuona kabla, unatokea wapi muxar
ziko wapi!naprint Jezi
Boss,Huu ujumbe na huu muda. kuna mtu ushamwacha anashangaa shangaa nini!
itakua wamechoshwa na pilika za hapa na pale, ila humu hakuna vipandeMna vipande vyenu mmejikatia...kuna watu leo wamedozi mapema hawaonekani!
Kwangu huku ni mapema bado 10.09 PMBoss,Huu ujumbe na huu muda. kuna mtu ushamwacha anashangaa shangaa nini!
Kumeanza kuchangamka,vipande vipo! usijifanye hujanielewa.itakua wamechoshwa na pilika za hapa na pale, ila humu hakuna vipande
vipande vipi kwan, mi sijaelewa kitu hebu nielewesheKumeanza kuchangamka,vipande vipo! usijifanye hujanielewa.
Nyumba ya juu unayokaa iko wapi!vipende vipi kwan, mi sijaelewa kitu hebu nieleweshe