MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,835
- 3,138
SAWA kuna namna tuu ya kukishika siuliona avatar yako ya kwanza ulivokishika kwa hisiaKama vitu gani? Mle ni kishungi tu unayemuheshimu naye tuko naye kule🤸🏽♂️
SAWA kuna namna tuu ya kukishika siuliona avatar yako ya kwanza ulivokishika kwa hisiaKama vitu gani? Mle ni kishungi tu unayemuheshimu naye tuko naye kule🤸🏽♂️
🙏🙏 Samahan mkuu nimekuharibia mchongo kaka nisamehe bure🤣dogo Alex unapenda kujiamulia amulia mambo tuuh
haya bhana
Ndio zake dogo mzushi huyu! Anakaa na halmashauri ya bichwa lake wanaanza kupangia watu mitazamo!dogo Alex unapenda kujiamulia amulia mambo tuuh
haya bhana
Ngoja dogo akupeleke chaka!🫢Asante kwa taarifa mintaenda nae hivi hivi ,wewe unaonaje eti!?
Hiyo miaka 10 ilianza na mwaka mmoja jaribu ktumia akili mara moja moja basi!Miaka kumi, no hao ni kaka zako mmesha fikia hatua ya kutikuoneana aibu mkuu, unaweza funguka mambo ya kifamilia Yako kwao miaka kumi mi sikumbuki hata marafiki zangu wa miaka mitano nyuma wako wapi sahii
Basi hata ile yakukuvizia ukiwa unatoka kwenye mnada nakufungia siku mbili then naenda kwenu kuwaambia nimekuhifadhi wanataka ng'ombe wangap huijui pia!?Ni mambo ya ajabu kabisaa!
Seran twende polepole, we mwenyewe ulisema, kipindi nyimbo ya ommy dimpozy nai nai inatokea we ulikua o level, sasa kipondo hicho mi ni mkubwa sio mtoto kwa makadirio wewe una chezea hapa, 1994, 1995,1996. Umerudi sana 1993, mwishoo. Ndio watu wenye umri huo walikua hapoWewe umewahi kuniona wapi mpaka ujiamlie mawazo yako yawe uhalisia wangu?
1. Mimi sio binti
2. Nakuzidi mbali sana
3. Na sina huo uposi mnaokaaga vikao kujitungia!
Ukikataliwa unaanza kufuatilia watu tunaoheshimiana na kuingiza mada zako za kipumbavu ifike mahala uanze kujenga mipaka ya kujiheshimu kijana!Fresh kaka enjoy🍻
Ndio na bado washamba wakawa wanaimind kichizi😆SAWA kuna namna tuu ya kukishika siuliona avatar yako ya kwanza ulivokishika kwa hisia
We ni mpumbavu as usual! Takataka🚮🙏🙏 Samahan mkuu nimekuharibia mchongo kaka nisamehe bure🤣
kwani LINDO ww unaonaje😄si linaenda!?Ni kijana kabisaa!! Mzee awe macho muda huu wanakoroma tu!
Hii nimeisikia sikia ilikuwepo sana! Najuta kutoifanya sasa hivi inabidi nibembeleze ng’ombe ziende upande wetu😒Basi hata ile yakukuvizia ukiwa unatoka kwenye mnada nakufungia siku mbili then naenda kwenu kuwaambia nimekuhifadhi wanataka ng'ombe wangap huijui pia!?
Basi tu, ila Mungu ndiye anayejua
mshamba hawez kuelewa na mjinga hapewi ushauriNdio na bado washamba wakawa wanaimind kichizi😆
We unajua nilikuwa olevel darasa lipi? Usijitie kujua sana watu humu kisa nyimbo na upuuzi wote! Kwahiyo mtu wa 94 unamuona mdogo wako? Kwahiyo kwenu 93 ni binti? Analingana na hao wa ficha bwanaako tumerudi? Use ur senses in making arguments!!Seran twende polepole, we mwenyewe ulisema, kipindi nyimbo ya ommy dimpozy nai nai inatokea we ulikua o level, sasa kipondo hicho mi ni mkubwa sio mtoto kwa makadirio wewe una chezea hapa, 1994, 1995,1996. Umerudi sana 1993, mwishoo. Ndio watu wenye umri huo walikua hapo
Seran kumbe ulinikataa, duh, ila mi ni mtu wa matani sana napenda kucheka Kila muda hivo simanishi sana japo ni kweli uko sahihi Nina kutaka, lakini unapo nichana kwenye hadhara kama hapa unanidhalilisha mkuu🤣 unarusha Michele kwenye kuku wengiUkikataliwa unaanza kufuatilia watu tunaoheshimiana na kuingiza mada zako za kipumbavu ifike mahala uanze kujenga mipaka ya kujiheshimu kijana!
Linaenda haswaa👌🏽kwani LINDO ww unaonaje😄si linaenda!?
ww ni wakanda ya ziwa Ila hujakaa kule bhana😎Hii nimeisikia sikia ilikuwepo sana! Najuta kutoifanya sasa hivi inabidi nibembeleze ng’ombe ziende upande wetu😒
Hawawezi kuelewa kamwe!mshamba hawez kuelewa na mjinga hapewi ushauri