adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,507
- 39,684
Sijaona bado vyote , mdogo wetu amerudi upya ngoja tuone mapyaBado hujaona vyote eeh?
Sijaona bado vyote , mdogo wetu amerudi upya ngoja tuone mapyaBado hujaona vyote eeh?
Hakuna jipya same old shit just a different day!Sijaona bado vyote , mdogo wetu amerudi upya ngoja tuone mapya
Mema hufuta maovu , mtu ukibadilika na mitizamo negative ya watu juu yako hubadilika pia sometimes watu husau kabisa kama iliwahi kuwa mtu mbadiChange is hard my friends.
Je uko radhi wewe uliyezoeleka afe, ili uwe na room ya mtu mpya?
Ni Hakika..Mema hufuta maovu , mtu ukibadilika na mitizamo negative ya watu juu yako hubadilika pia sometimes watu husau kabisa kama iliwahi kuwa mtu mbadi
Umefukuzwa bed nini😆Ila ndoa........
01:14
Majirani wameliqmsha saiz usiku naskilizia nduru tuUmefukuzwa bed nini😆
Mnaishi karibu karibu sana!Majirani wameliqmsha saiz usiku naskilizia nduru tu
Uswahilini sanaMnaishi karibu karibu sana!
Inasikitisha sana
Basi jikaze tu utalala wakimaliza 🙆🏽♀️Uswahilini sana
Uliniharibia uvulana wangu 😔
Wekeend nipe flavour ya kinywaji kikali nishinde nacho mjengoniBasi jikaze tu utalala wakimaliza 🙆🏽♀️
Kanye west huko! Una uvulana gani wee?Uliniharibia uvulana wangu 😔