JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

We unajua nilikuwa olevel darasa lipi? Usijitie kujua sana watu humu kisa nyimbo na upuuzi wote! Kwahiyo mtu wa 94 unamuona mdogo wako? Kwahiyo kwenu 93 ni binti? Analingana na hao wa ficha bwanaako tumerudi? Use sense in arguments!!
Wa ficha bwana Ako ni watoto hao, wengi bado wananuka maziwa, 94 mtoto ndio , tena wengi wa huo umri hawaja olewa wengine hata kuzaa bado ungesema 89 kuja chini sawa ila 94 mdogo sana
 
Seran kumbe ulinikataa, duh, ila mi ni mtu wa matani sana napenda kucheka Kila muda hivo simanishi sana japo ni kweli uko sahihi Nina kutaka, lakini unapo nichana kwenye hadhara kama hapa unanidhalilisha mkuu🤣 unarusha Michele kwenye kuku wengi
Mtu wa matani ila ukiniona niko uzi fulani navibe na mtu unakuja na ujinga uleule hujiheshimu unaahisi wote humu wapo kutafuta hayo mahusiano kama ww na sio mambo mengine! Unanivamia kila uzi kuandika kwa kudhalilisha imeshakuwa ni tabia yako na sipendezwi nayo! Ninaamini hukuunda id ili ufuatilie maisha ya mtu mwingine humu! Jishkilie!!
 
Msamehe dogo nilisha mwambia anifuate kaka ake nimpe mbinu aache drama.. We dogo Alexido jz instagram si Nilikwambia lakini au umesahau kwa mdogo wangu ephen_ au sio wewe? Acha kusumbua dada zako.
 
Lakin kwan kosa langu ni lipi? Mi nawapenda hawa ndugu zangu washkaji zangu nimekua na akili nyepesi hivo Kuna muda nadhani wame fall in love kwako nacho Fanya mimi nawapigia debe Wala sikujua kama nakukera, feel sorry🙏🙏♥️🌷
 
Kwahiyo wewe kila anaye nisemesha ananitaka? U are not matured enough na huwezi kuwa karibu na opp sex kwa mindset ya namna hiyo!🚮
 
Msamehe dogo nilisha mwambia anifuate kaka ake nimpe mbinu aache drama.. We dogo Alexido jz instagram si Nilikwambia lakini au umesahau kwa mdogo wangu ephen_ au sio wewe? Acha kusumbua dada zako.
Unajua we gunner Bora hata ungejiita panga mana hakuna kitu ulishindwa kumuwrka ephen mikononi mwangu kweli kijana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom