JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

nisaidie namna ya kuiomba siunajua wengine umri tena,
enhee vijana wa Leo mnaiombeje dogo ale??
Mkuu mi ni mkongwe kiasi chake sio gen z, mkuu si mpaka akukubalie kwanza na mambo yote ni dm kaka 🤣🤣🤣🤣 ila seran anapendwa na wengi nadhani ndio pisi miongoni mwa wanaopendwa sana alafu si mkubwa huyo ni binti
 
Wewe utakavyoona ila ni marafiki na tunaitana marafiki!
Miaka kumi, no hao ni kaka zako mmesha fikia hatua ya kutikuoneana aibu mkuu, unaweza funguka mambo ya kifamilia Yako kwao miaka kumi mi sikumbuki hata marafiki zangu wa miaka mitano nyuma wako wapi sahii
 
Mkuu mi ni mkongwe kiasi chake sio gen z, mkuu si mpaka akukubalie kwanza na mambo yote ni dm kaka 🤣🤣🤣🤣 ila seran anapendwa na wengi nadhani ndio pisi miongoni mwa wanaopendwa sana alafu si mkubwa huyo ni binti
Wewe umewahi kuniona wapi mpaka ujiamlie mawazo yako yawe uhalisia wangu?

1. Mimi sio binti
2. Nakuzidi mbali sana
3. Na sina huo upisi mnaokaaga vikao kujitungia!
 
Back
Top Bottom