Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,300
- 104,356
Aiseee!fala Sana awa nilimtoa wenge Hadi akaacha ndala
Aiseee!fala Sana awa nilimtoa wenge Hadi akaacha ndala
sema uzuri wao ni wepesi kujishusha,Aiseee!
Eti mtu hauko serious wewe🤣sema uzuri wao ni wepesi kujishusha,
NANI ASIEPENDA MTU ANAEOMBA RADHI NA KUJISAHIHISHA BHANA??
hata wewe Seran unaamiinia baby akisema" yaishe mama SAMAHANI, kwahy tunafanyaje"??
haha!hapo umenipiga mkuu naomba unishushe,Eti mtu hauko serious wewe🤣
Hawana hisia hao, na kuomba radhi wengine huchukulia kama udhaifu ndio maana wengine tunakuwa wajeuri tu! Mimi akiniomba radhi ndio namnyoosha vipi!
Wengine hasira zetu zinaisha tukipigana😂haha!hapo umenipiga mkuu naomba unishushe,
yaani nikuombee SAMAHANI ,tuyaweke SAWA ww uendelee kuvimba kama chura anaetaka kupandana !?
fafanua pambano la namna ghani ,Wengine hasira zetu zinaisha tukipigana😂
Wewe baba ni ngumi tu wala hakuba code hapo!fafanua pambano la namna ghani ,
kwenye uwanja wa fundi seremala au!?
afu kwanini pambano la hivi boy lazima kimlambe!?Wewe baba ni ngumi tu wala hakuba code hapo!
View attachment 3702342
Ndio nakoz za kutosha, visu ⚔️afu kwanini pambano la hivi boy lazima kimlambe!?
I will be funny to watch 😂What if he post his crush?
haswa haswa nyie mnaotokea chuga na Kanda maalum ni hatari!?Ndio nakoz za kutosha, visu ⚔️
Mimi wa kanda ya ziwa broski🫢haswa haswa nyie mnaotokea chuga na Kanda maalum ni hatari!?
kwamba na ww ni msubi??Mimi wa kanda ya ziwa broski🫢
ndo vinini unachezea!!?01:07
![]()
Msubi ni kitu gani!kwamba na ww ni msubi??
Nachezea sharubu za babu!😝ndo vinini unachezea!!?
haha!ni kabila wenza na watu wa katereloMsubi ni kitu gani!
Ndio kabila lenu? Mi sukuma gang bruh 😎haha!ni kabila wenza na watu wa katerelo